Taarifa Kwa Umma : Wito Wa Kujiunga Na Mafunzo Ya JKT Mujibu Wa Sheria Mwaka 2021....Orodha Ya Majina Yote Iko Hapa

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), linawaita vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2021, kutoka shule zote za Tanzan...


Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), linawaita vijana waliohitimu elimu ya sekondari kidato cha sita kwa mwaka 2021, kutoka shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa mujibu wa Sheria.

Sanjari na wito huo, JKT limewapangia makambi watakayo kwenda kupatiwa mafunzo na wanatakiwa kuripoti makambini kuanzia tarehe 01 hadi 10 June 2021.

Vijana walioitwa wamepangwa katika kambi za JKT Rwamkoma - Mara, JKT Msange - Tabora, JKT Ruvu - Pwani, JKT Mpwapwa, na Makutupora JKT Dodoma, JKT Mafinga - Iringa, JKT Mlale - Ruvuma, JKT Mgambo na JKT Maramba -Tanga, JKT Makuyuni - Arusha, JKT Bulombora, JKT Kanembwa, na JKT Mtabila - Kigoma, JKT Itaka - Songwe, JKT Luwa na JKT Milundikwa - Rukwa, JKT Nachingwea - Lindi na JKT Kibiti- Pwani na Oljoro JKT- Arusha.

Wahitimu wenye ulemavu wa kuonekana kwa macho (Physical disabilities) waripoti katika kambi ya Ruvu JKT iliyopo Mlandizi Mkoani Pwani ambayo ina miundombinu ya kuhudumia watu wa jamii hiyo.

JKT linawataka vijana hao kuripoti wakiwa na vifaa vifuatavyo.

  1. Bukta ya rangi ya ‘Dark Blue’ yenye mpira kiunoni (lastic), iliyo na mfuko mmoja nyuma, urefu unaoishia magotini, isiyo na zipu.
  2. T-shirt ya rangi ya kijani (Green Vest)
  3. Raba za michezo zenye rangi ya kijani au blue.
  4. Shuka mbili za kulalia zenye rangi ya blue bahari.
  5. Soksi ndefu za rangi nyeusi.
  6. Nguo za kuzuia baridi kwa waliopangiwa mikoa yenye baridi.
  7. Track suit ya rangi ya kijani au blue
  8. Nauli ya kwenda makambini na kurudi nyumbani.

Orodha kamili ya majina ya vijana walioitwa, Makambi ya JKT waliyopangiwa na maeneo yaliyopo inapatikana hapo chini.

 BOFYA JINA LA KIKOSI HAPO CHINI  KUANGALIA MAJINA YA VIJANA WA MUJIBU WA SHERIA 2021

 Tafadhali bonyeza jina la kikosi kutafuta jina lako

 1.BULOMBORA -KIGOMA  2.RWAMKOMA - MARA  3.KANEMBWA-KIGOMA
     
 4.MSANGE - TABORA  5.MPWAPWA - DODOMA  6.RUVU - PWANI
     
 7.MGAMBO - TANGA  8.MARAMBA - TANGA  9.MLALE - RUVUMA
     
 10.MAFINGA - IRINGA  11.MTABILA - KIGOMA  12.MAKUYUNI - ARUSHA
     
 13.ITAKA - SONGWE  14.LUWA - RUKWA  15.KIBITI - PWANI
     
 16.NACHINGWEA - LINDI  17.MILUNDIKWA - RUKWA  18.OLJORO - ARUSHA
     
19.MAKUTUPORA - DODOMA    

Mkuu wa JKT Brigedia Jenerali Rajabu Mabele, Anawakaribisha vijana wote walioitwa ili waweze kujiunga na vijana wenzao katika kujifunza uzalendo, umoja wa kitaifa, stadi za kazi, stadi za maisha na utayari wa kulijenga na kulitumikia Taifa.


Imetolewa na:

Kurugenzi ya Habari na Uhusiano,

Makao Makuu ya JKT,

Tarehe 22 May 2021.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends

COMMENTS

BLOGGER
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3152,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,291,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Taarifa Kwa Umma : Wito Wa Kujiunga Na Mafunzo Ya JKT Mujibu Wa Sheria Mwaka 2021....Orodha Ya Majina Yote Iko Hapa
Taarifa Kwa Umma : Wito Wa Kujiunga Na Mafunzo Ya JKT Mujibu Wa Sheria Mwaka 2021....Orodha Ya Majina Yote Iko Hapa
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhlag-eYzvFrdT6BXy3UqRMi1Z13a68GarjdyBkqcbhhAGo_6HSF24DqFmgTi26PCyU3qh1ZB8X31dMhgbQUacza-3CxlI8ANMd1qcs1UbHwgHtN5d04NCHOuO6XjI3KwcbvAarBghyphenhyphen_bzf/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhlag-eYzvFrdT6BXy3UqRMi1Z13a68GarjdyBkqcbhhAGo_6HSF24DqFmgTi26PCyU3qh1ZB8X31dMhgbQUacza-3CxlI8ANMd1qcs1UbHwgHtN5d04NCHOuO6XjI3KwcbvAarBghyphenhyphen_bzf/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/taarifa-kwa-umma-wito-wa-kujiunga-na.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/taarifa-kwa-umma-wito-wa-kujiunga-na.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy