SIMBA SASA YAIGEUKIA NAMUNGO FC, LEO KUKIWASHA MAJALIWA
HomeMichezo

SIMBA SASA YAIGEUKIA NAMUNGO FC, LEO KUKIWASHA MAJALIWA

  K OCHA Mkuu wa Simba, Didier  Gomes Da Rosa, amefunguka  kuwa moja ya malengo yake kwa  sasa ni kuhakikisha wanapata  matokeo katika ki...

KIBURI KILICHOWAPONZA SIMBA, KITAWAMALIZA COASTAL UNION
HASARA YA VIPAJI IANDALIWE MAZINGIRA KUOKOLEWA
MANCHESTER CITY INAMUHITAJI KANE, GREALISH

 


KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes Da Rosa, amefunguka kuwa moja ya malengo yake kwa sasa ni kuhakikisha wanapata matokeo katika kila mchezo wa ligi, ukiwemo mchezo wao ujao dhidi ya Namungo baada ya kuondolewa kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika.

 

Simba inarejea tena kwenye ligi baada ya safari ya kuondolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye hatua ya robo fainali ambapo leo Jumamosi watakuwa uwanjani kucheza dhidi ya Namungo mkoani Lindi.

 

Timu hiyo ambayo inaongoza ligi kwa pointi 61 sawa na Yanga, inayokamata nafasi ya pili lakini wakiwa na tofauti ya mabao na mechi (Yanga wako mbele kwa mechi nne).


 Gomes amesema kuwa kwa sasa watawekeza nguvu zao zote katika mechi zao za ligi kwa kuanza na Namungo kwa kuwa wanataka kuona wanafanikiwa kutetea ubingwa wao kufuatia kuondolewa kwenye michuano ya kimataifa.

 

“Kitu pekee kwa sasa ni kujipanga upya kwa ajili ya msimu ujao ili tuone kwa namna gani tunaweza kufika mbali ya tulipoishia, nguvu yetu tunaipeleka kwenye mechi zetu za ligi kwa kuhakikisha tunashinda, tukianzia mechi yetu dhidi na Namungo, maana ndiyo itakuwa ya kwanza katika ligi.

 

"Unajua mashindano si rahisi wala si timu ya kawaida kwa kuwa kila timu inakuwa imejiandaa kupambana kwa kuhakikisha wanapata matokeo, hivyo tunaenda kucheza ugenini tukiwa na lengo moja pekee la kuhakikisha tunashinda ili kujiweka kwenye wakati mzuri wa kutetea ubingwa wetu msimu huu,” amesema Gomes.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA SASA YAIGEUKIA NAMUNGO FC, LEO KUKIWASHA MAJALIWA
SIMBA SASA YAIGEUKIA NAMUNGO FC, LEO KUKIWASHA MAJALIWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgO5e5ZcN60N9gZa7yzoaBVH2d1kseVoOm0Vap9cQ5ZwWS3uB1acW3zgGJjhfY5YFk1nD2rommp9U8viq5Tlgno8ducPRjeHTmE4Ljg03hYjZjrT2VQBNu3sA4_Ot5j9SQXBuWE3yaEctqv/w640-h426/simbasctanzania-193220285_2849635198631820_4640841555880257137_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgO5e5ZcN60N9gZa7yzoaBVH2d1kseVoOm0Vap9cQ5ZwWS3uB1acW3zgGJjhfY5YFk1nD2rommp9U8viq5Tlgno8ducPRjeHTmE4Ljg03hYjZjrT2VQBNu3sA4_Ot5j9SQXBuWE3yaEctqv/s72-w640-c-h426/simbasctanzania-193220285_2849635198631820_4640841555880257137_n.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/simba-sasa-yaigeukia-namungo-fc-leo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/simba-sasa-yaigeukia-namungo-fc-leo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy