SIMBA KUANZA KUIVUTIA KASI KAIZER CHIEFS, WAKUBALI KUWA WANA MLIMA MZITO
HomeMichezo

SIMBA KUANZA KUIVUTIA KASI KAIZER CHIEFS, WAKUBALI KUWA WANA MLIMA MZITO

 KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes raia wa Ufaransa pamoja na mzawa Seleman Matola ambaye ni msaidizi, leo kinata...

YANGA YARUDI DAR KUIVUTIA KASI SIMBA
CHELSEA KUWATIBULIA MIPANGO UNITED KWA BEKI
VIDEO: KAPOMBE: UBORA WA KIKOSI UNATUBEBA, MCHEZO WA YANGA UTAKUWA TOFAUTI

 KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes raia wa Ufaransa pamoja na mzawa Seleman Matola ambaye ni msaidizi, leo kinatarajiwa kuanza maandalizi kwa ajili ya mchezo wao wa marudio dhidi ya Kaizer Chiefs ambao ni wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

Kwa mujibu wa Mratibu wa Simba, Abass Ally amesema kuwa wana mlima mzito kwa sasa baada ya kupoteza mchezo wa kwanza kwa ubao wa FNB Soccer City kusoma Kaizer Chiefs 4-0 Simba.

Licha ya kupoteza kwa kufungwa mabao hayo bado wana matumaini ya kufanya vizuri kwenye mchezo wao wa marudio unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Mei 22.

"Tuna mlima mzito wa kupanda hasa ukizingatia kwamba mchezo wa kwanza tumepoteza kwa kufungwa mabao manne ila kwenye mpira kila kitu kinawezekana.

"Kwa sasa tupo Tanzania, tunashukuru dua za mashabiki pamoja na sapoti yao kubwa wasikate tamaa, tunaanza maandalizi kwa ajili ya mchezo wetu ujao na kwa uwezo wa Mungu tunaamini tutapata matokeo," .

Ili iweze kusonga mbele hatua ya nusu fainali ina mlima wa kushinda mabao matano bila kuruhusu nyavu zao kutikiswa mbele ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SIMBA KUANZA KUIVUTIA KASI KAIZER CHIEFS, WAKUBALI KUWA WANA MLIMA MZITO
SIMBA KUANZA KUIVUTIA KASI KAIZER CHIEFS, WAKUBALI KUWA WANA MLIMA MZITO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgs290_F9o8sLe5TGqxR7FKKR4IRScAaj-SmXde_EPoewYi9XVGrTsHpf0ef6JrnDFsAoV6-iCh8M14YEzqWl4wlIyEo7jHaDUKUUZU_JlntC6bbXGKvLCYIOm4yDp7k7lk1ETnnYe6u2RB/w640-h426/Mugalu+v+Kaizer.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgs290_F9o8sLe5TGqxR7FKKR4IRScAaj-SmXde_EPoewYi9XVGrTsHpf0ef6JrnDFsAoV6-iCh8M14YEzqWl4wlIyEo7jHaDUKUUZU_JlntC6bbXGKvLCYIOm4yDp7k7lk1ETnnYe6u2RB/s72-w640-c-h426/Mugalu+v+Kaizer.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/simba-kuanza-kuivutia-kasi-kaizer.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/simba-kuanza-kuivutia-kasi-kaizer.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy