MANCHESTER UNITED INAHITAJI KUONGEZA WATATU, WENGINE KUONDOKA
HomeMichezo

MANCHESTER UNITED INAHITAJI KUONGEZA WATATU, WENGINE KUONDOKA

 OLE Gunnar Solskjaer , Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa anahitaji kuongeza nyota wapya watatu ndani ya kikosi hicho kwa ajili...


 OLE Gunnar Solskjaer , Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa anahitaji kuongeza nyota wapya watatu ndani ya kikosi hicho kwa ajili ya msimu ujao.

Kocha huyo ambaye msimu huu alikuwa katika ubora wake hasa mechi za ugenini ambapo hawajafungwa mchezo wowte kati ya 19 anahitaji kuongeza nguvu zaidi ili aweze kushindana na mpinzani wake mkubwa Manchester City.

Katika Ligi Kuu England, United imekamilisha msimu kwa kujikusanyia jumla ya pointi 74 ikiwa ni namba mbili huku City ikiwa ni namba moja na pointi zao ni 86.

Mchezo wao wa mwisho kwa msimu United ilishinda jumla ya mabao 2-1 dhidi ya Wolves.

Kocha huyo amesema:"Kwa sasa tunaangalia kwenye kikosi chetu wachezaji gani watasalia hapa na ambao wanatakiwa kuondoka na pia wale watakaotoka kwenda kupata uzoefu.

"Matumaini yangu kuboresha kikosi changu, wachezaji wawili ama watatu nahitaji ndani ya kikosi changu,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MANCHESTER UNITED INAHITAJI KUONGEZA WATATU, WENGINE KUONDOKA
MANCHESTER UNITED INAHITAJI KUONGEZA WATATU, WENGINE KUONDOKA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEipY4oJXhmHDTkkJx0VybxxbEWUJQ0GrbixyijzlchIKOorviThobExXCkRKXTZMrp649TPcZWP0vp4EIkRTI944ieQ1KuGgkEtHVhmojmjjYos0vG7-778NHERrBKOdZGshs08HTV0lu34/w584-h640/Ole+kicheko.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEipY4oJXhmHDTkkJx0VybxxbEWUJQ0GrbixyijzlchIKOorviThobExXCkRKXTZMrp649TPcZWP0vp4EIkRTI944ieQ1KuGgkEtHVhmojmjjYos0vG7-778NHERrBKOdZGshs08HTV0lu34/s72-w584-c-h640/Ole+kicheko.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/manchester-united-inahitaji-kuongeza.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/manchester-united-inahitaji-kuongeza.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy