KOCHA YANGA AGOMEA SARE, ATAKA USHINDI MBELE YA NAMUNGO
HomeMichezo

KOCHA YANGA AGOMEA SARE, ATAKA USHINDI MBELE YA NAMUNGO

  K ATIKA  kuhakiki sha Yanga  wanapata  ushindi  katika mchezo wa leo  Jumamosi dhidi  ya Namungo FC, Ko cha Mkuu wa Yanga,  Nasreddine...




 KATIKA kuhakikisha Yanga wanapata ushindi katika mchezo wa leo Jumamosi dhidi ya Namungo FC, Kocha Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amewataka wachezaji wa timu hiyo kuhakikisha wanapata ushindi katika mchezo huo kwa lengo la kubakia kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu.

 

Yanga ambao kwa sasa wanakamata nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu wakiwa na pointi 57 nyuma ya vinara Simba wenye pointi 61, leo Jumamosi watacheza dhidi ya Namungo FC katika mchezo utakaopigwa kwenye Uwanja wa Majaliwa, Ruangwa mkoani Lindi.


Kocha huyo amesema kuwa anachokikata kutoka kwa wachezaji katika mchezo huo ni kuweza kupata ushindi kwa kuwa ndiyo lengo kuu katika mechi zao zote zilizobakia kwa sasa licha ya kutambua ugumu uliopo dhidi ya timu hiyo.

 

Kwa mujibu wa taarifa za uhakika kutoka ndani ya benchi la timu hiyo ni kuwa tayari Nabi ameshatoa majukumu kwa wachezaji kuelekea katika mchezo huo na matokeo ambayo anayahitaji ili kuweza kujiweka katika wakati mzuri wa kupigania ubingwa.

 

“Kocha amewaambia wachezaji na amekuwa akiwasisitiza kwamba ushindi katika mchezo wa Jumamosi ni kitu muhimu kutokana na presha ambayo upande wetu kwa sasa lakini ugumu wa timu ambayo tunacheza nayo.

 

“Kitu kikubwa amewataka wapambane, wajue ukubwa na thamani yao hasa katika mechi hizi ambazo zimebakia na hata katika mazoezi ambayo yamekuwa yakifanyika huku Mtwara hilo ndiyo jambo amekuwa akilipigia kelele wakati wote,” alisema mtoa taarifa.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KOCHA YANGA AGOMEA SARE, ATAKA USHINDI MBELE YA NAMUNGO
KOCHA YANGA AGOMEA SARE, ATAKA USHINDI MBELE YA NAMUNGO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg8Ptr_vLrc4xyiqwXJ-GCD-xSDNdJ0yivSHofAAJ1QSf38E-e9A4_FmDocl1qzWxD7t_ttoPp6E7jB_OveEy-bZB2313BgRR5RE9tF35-b8MYT4AWHp_HWmcUdOrnoeM8RplNutDbul06b/w590-h640/Nabi+na+Nchimbi.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg8Ptr_vLrc4xyiqwXJ-GCD-xSDNdJ0yivSHofAAJ1QSf38E-e9A4_FmDocl1qzWxD7t_ttoPp6E7jB_OveEy-bZB2313BgRR5RE9tF35-b8MYT4AWHp_HWmcUdOrnoeM8RplNutDbul06b/s72-w590-c-h640/Nabi+na+Nchimbi.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/kocha-yanga-agomea-sare-ataka-ushindi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/kocha-yanga-agomea-sare-ataka-ushindi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy