KMC YAIFUATA NAMUNGO, YAPIGA HESABU POINTI TATU
HomeMichezo

KMC YAIFUATA NAMUNGO, YAPIGA HESABU POINTI TATU

  UONGOZI wa KMC umeweka wazi kuwa unazihitaji pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC utakaochezwa Uwanja wa M...

 


UONGOZI wa KMC umeweka wazi kuwa unazihitaji pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC utakaochezwa Uwanja wa Majaliwa, Mei 9.

Leo kikosi hicho kinatarajia kuweza kuwasili Ruangwa kukamilisha maandalizi ya mwisho ya mchezo huo ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.

Huo unakuwa mchezo wa pili kwa msimu huu kwa KMC kukutana na Namungo ambapo ule wa mzunguko wa kwanza Uwanja wa Uhuru, ubao ulisoma KMC 3-0 Namungo.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa KMC, Christina Mwagala amesema kuwa wanawaheshimu wapinzani wao ila wanahitaji pointi tatu kwenye mchezo huo.

"Tunajua kwamba mchezo utakuwa mgumu ila tupo tayari na wachezaji wapo vizuri imani yetu ni kuona kwamba tunashinda mchezo wetu.

"Kila timu kwa sasa inahitaji pointi tatu hata sisi tunahitaji hivyo tutapambana mashabiki watupe sapoti,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KMC YAIFUATA NAMUNGO, YAPIGA HESABU POINTI TATU
KMC YAIFUATA NAMUNGO, YAPIGA HESABU POINTI TATU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjG0UQKMlri1aXQ6tSXnqSfE6YMxqVXkw9RTeVQ7GlZuMI9bcz4IIq5S4ByYleFaEpBs_UWl8lQgpAfGswLCyhdQhQkCcWSgKKF6SI8da-4eVQrPXngzjzd4WApnKtKFOAPk9SfMmBw4TwL/w640-h372/KMC+2020.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjG0UQKMlri1aXQ6tSXnqSfE6YMxqVXkw9RTeVQ7GlZuMI9bcz4IIq5S4ByYleFaEpBs_UWl8lQgpAfGswLCyhdQhQkCcWSgKKF6SI8da-4eVQrPXngzjzd4WApnKtKFOAPk9SfMmBw4TwL/s72-w640-c-h372/KMC+2020.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/kmc-yaifuata-namungo-yapiga-hesabu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/kmc-yaifuata-namungo-yapiga-hesabu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy