JURGEN KLOPP: MAISHA NI MAFUPI SANA, HANA HOFU NA MANCHESTER
HomeMichezo

JURGEN KLOPP: MAISHA NI MAFUPI SANA, HANA HOFU NA MANCHESTER

KOCHA Mkuu wa kikosi cha Liverpool, Jurgen Kloop amesema kuwa maisha ni mafupi hivyo hawezi kuwa na hofu juu ya mafanikio ya timu zote za ...


KOCHA Mkuu wa kikosi cha Liverpool, Jurgen Kloop amesema kuwa maisha ni mafupi hivyo hawezi kuwa na hofu juu ya mafanikio ya timu zote za Manchester na anamini kwamba msimu ujao atakuwa imara na ushindani utakuwa mkubwa kwake.

Pep Guardiola upande wake amekuwa akipewa nafasi ya kutwaa taji la Ligi Kuu England na anapewa nafasi ya kuipeleka timu yake ya Manchester City hatua ya fainali ya Champions League kwa kuwa nusu fainali ya kwanza alishinda mbele ya Paris Saint Germain, (PSG).

Wakati huo Manchester United wao kwenye Europa League nusu fainali ya kwanza walishinda mabao 6-2 dhidi ya Roma.

Mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu England, Liverpool wamekuwa katika wakati mgumu kuweza kutwaa taji hilo huku wakiwa hawana uhakika wa kumaliza ndani ya nne bora.

"Hiyo kwangu sio tatizo, tatizo langu kubwa ni kwa wale wapinzani wangu ambao nitakutana nao wikeendi hii na sio kufikiria habari nyingine, Oh Mungu wangu, City tena na United kurejea kwenye ubora wao.


"Maisha ni mafupi sana kwa haya ambayo yanatokea hii ni aina ya tabia ambayo haina haja ya kuwa na hofu nayo. Tutapata changamoto kubwa msimu ujao lakini kwa mwaka huu bado tunaangalia ni namna gani tutamaliza msimu huu hatuna cha kufanya kwa wale ambao wapo nusu fainali na nusu fainali," amesema.






Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: JURGEN KLOPP: MAISHA NI MAFUPI SANA, HANA HOFU NA MANCHESTER
JURGEN KLOPP: MAISHA NI MAFUPI SANA, HANA HOFU NA MANCHESTER
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhKSoBg1v0Oy5fqKkesJElTIhr0Y80442gEzQA_p-npstu3WkmNmJhWrI4a1UnI36a6vxrsD7cT4JLayeqsWnmCkc18kFm4T6Mge1BKXYmyfUhJSefK6EH4bmR6uwaVGaL9s3CY3Dkaifrb/w640-h396/Klupi.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhKSoBg1v0Oy5fqKkesJElTIhr0Y80442gEzQA_p-npstu3WkmNmJhWrI4a1UnI36a6vxrsD7cT4JLayeqsWnmCkc18kFm4T6Mge1BKXYmyfUhJSefK6EH4bmR6uwaVGaL9s3CY3Dkaifrb/s72-w640-c-h396/Klupi.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/jurgen-klopp-maisha-ni-mafupi-sana-hana.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/jurgen-klopp-maisha-ni-mafupi-sana-hana.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy