HESABU ZA YANGA KUIZUA SIMBA ZINAPANGWA NAMNA HII
HomeMichezo

HESABU ZA YANGA KUIZUA SIMBA ZINAPANGWA NAMNA HII

 BEKI wa kati wa Klabu ya Yanga, Abdalah Shaibu,'Ninja' amesema kuwa anawatambua vizuri wapinzani wake Simba hivyo hana mashaka ku...


 BEKI wa kati wa Klabu ya Yanga, Abdalah Shaibu,'Ninja' amesema kuwa anawatambua vizuri wapinzani wake Simba hivyo hana mashaka kuelekea kwenye mchezo wao ujao ikiwa atapata nafasi ya kuwazuia wasiwafunge.

Ninja ameanza kuaminika kikosi cha kwanza huku akipewa ujumbe na viongozi wa Yanga kwamba aendelee kupambana kwa ajili ya timu hiyo inayopambana kutwaa taji la Ligi Kuu Bara lililo mikononi mwa Simba.

Miongoni mwa viongozi hao ni pamoja na Antonio Nugaz ambaye ni Ofisa Uhamasishaji wa Yanga. Mei 8 Uwanja wa Mkapa anatarajiwa kuwa na kazi ya kuzuia mashambulizi ya Meddie Kagere, Clatous Chama na Luis Miquissone.

Beki huyo mzawa amesema:"Ninatambua kwamba Simba ina wachezaji ambao ni wasumbufu ila bahati nzuri ni kwamba hao nimewahi kukutana nao uwanjani na ninajua mbinu zao.

"Labda mmoja bado ambaye ni Luis, lakini naye pia ninajua namna anavyocheza hivyo ni suala la kuomba uzima ili kila kitu kiwe sawa," .

Mchezo wa kwanza walipokutana ubao ulisoma Yanga 1-1 Simba hivyo mchezo ujao utakuwa na ushindani kwa kuwa timu zote zinahitaji kutwaa taji la ligi.

Yanga ipo nafasi ya pili ikiwa na pointi 57 baada ya kucheza mechi 27 na Simba ipo nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 61 baada ya kucheza mechi 25.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: HESABU ZA YANGA KUIZUA SIMBA ZINAPANGWA NAMNA HII
HESABU ZA YANGA KUIZUA SIMBA ZINAPANGWA NAMNA HII
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiS7ES8JSS8sSbnbRMKTdENdFX3_WTsHs_y6afeY32RMuwTt6uVfAL5Irp5A8vUGTyQBkE5O1TV9Edwn7xhXx6y5gw7NLhE4RRmkVvbB0T8eLBHJXTBuwEBIp5_4lT-V1UCFU5aqDPm_uYP/w640-h606/Ninjaa+Yanga.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiS7ES8JSS8sSbnbRMKTdENdFX3_WTsHs_y6afeY32RMuwTt6uVfAL5Irp5A8vUGTyQBkE5O1TV9Edwn7xhXx6y5gw7NLhE4RRmkVvbB0T8eLBHJXTBuwEBIp5_4lT-V1UCFU5aqDPm_uYP/s72-w640-c-h606/Ninjaa+Yanga.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/hesabu-za-yanga-kuizua-simba-zinapangwa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/hesabu-za-yanga-kuizua-simba-zinapangwa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy