GUARDIOLA ATAJA KILICHOWABEBA MBELE YA PSG
HomeMichezo

GUARDIOLA ATAJA KILICHOWABEBA MBELE YA PSG

  PEP Guardiola, Kocha Mkuu wa Manchester City amesema kuwa walipambana kwa pamoja jambo ambalo liliwafanya wao kutinga hatua ya fainali ...

 


PEP Guardiola, Kocha Mkuu wa Manchester City amesema kuwa walipambana kwa pamoja jambo ambalo liliwafanya wao kutinga hatua ya fainali ya UEFA Champions League.

Ushindi wa mabao 2-0 mbele ya PSG katika nusu fainali ya pili imewafanya watinge hatua ya fainali kwa ushindi wa jumla ya mabao 4-1.


Ni Riyad Mahrez alitupia mabao yote mawili dakika ya 11 na 63, Uwanja wa Etihad na Angel Di Maria wa PSG alionyeshwa kadi nyekundu dakika ya 69.

Kutangulia kwa City katika fainali kunawafanya  wasubiri mshindi wa mchezo kati ya Chelsea na Real Madrid utakaochezwa darajani leo majira ya saa 4:00 usiku.

Guardiola amesema:"Tulipambana kwa pamoja na kujituma, hili nina amini kwamba ni neno ambalo ninaweza kusema, kutinga kwetu hatua ya fainali ni jambo la furaha," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: GUARDIOLA ATAJA KILICHOWABEBA MBELE YA PSG
GUARDIOLA ATAJA KILICHOWABEBA MBELE YA PSG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj8hBX15hCPBKV2vUwb1OU_qK5zzsM22w2__8vxOHsdG_8qiyuuUetfVWqs3EQOCSwOC7AvFUzuUKcOvDMEaB7V0ftN0ZS9OqNLiJS2Dpykw9fX8TV3pbHx6yUhnU0TW-ULAWhSyOWYc7Ae/w640-h360/guardiola.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj8hBX15hCPBKV2vUwb1OU_qK5zzsM22w2__8vxOHsdG_8qiyuuUetfVWqs3EQOCSwOC7AvFUzuUKcOvDMEaB7V0ftN0ZS9OqNLiJS2Dpykw9fX8TV3pbHx6yUhnU0TW-ULAWhSyOWYc7Ae/s72-w640-c-h360/guardiola.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/guardiola-ataja-kilichowabeba-mbele-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/guardiola-ataja-kilichowabeba-mbele-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy