FAINALI YA LIGI YA MABIGWA ULAYA KUPIGWA URENO
HomeMichezo

FAINALI YA LIGI YA MABIGWA ULAYA KUPIGWA URENO

  SHIRIKISHO la Soka la Ulaya (UEFA) limethibitisha kuwa Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu kati ya Chelsea na Manchester City it...

HIZI HAPA MECHI MBILI ZA LEO LIGI KUU BARA
VIDEO: MZEE WA UTOPOLO ASEMA NAMBA YA HAJI MANARA HAIPATIKANI
VIDEO: KIUNGO OCHEWECHI AKUBALI KUTUA SIMBA

 SHIRIKISHO la Soka la Ulaya (UEFA) limethibitisha kuwa Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu huu kati ya Chelsea na Manchester City itapigwa katika Uwanja wa Dragao, jijini Porto, Ureno Mei 29, mwaka huu.

 

Fainali hizo kwa sasa zitapigwa katika uwanja huo ambao hutumiwa na Klabu ya FC Porto na wataruhusiwa mashabiki 6000 kuingia na uwanja unawezo wa kubeba mashabiki 50,035.

 

Awali fainali hizo zilipagwa kufanyika Istanbul, Uturuki katika Uwanja wa Ataturk ila ilishindikana kutokana na masuala ya janga la virusi vya Corona. Kwa maana hiyo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya pili mfululizo itapigwa ndani ya Ureno.

 

Msimu uliopita fainali ilichezwa katika Uwanja wa Da Luz, Lisbon wakati Bayern Munich ikitwaa ubingwa dhidi ya Paris Saint Germain. Rais wa UEFA, Aleksander Ceferin alisema:

 

“Kwa mara nyingine tumerudi kwa rafi ki zetu Ureno wametusaidia shukrani kwa chama cha soka cha Ureno pamoja na Serikali kuweza kutupa nafasi tena kwa muda mfupi tu kwa kulifanikisha hili.

 

“Tulipitia vikwazo vingi, lakini tumefanikiwa kumaliza hilo, baaada ya mwaka sasa mashabiki watafanikiwa kuangalia timu zao zikicheza katika fainali ya UEFA safari hii.”



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: FAINALI YA LIGI YA MABIGWA ULAYA KUPIGWA URENO
FAINALI YA LIGI YA MABIGWA ULAYA KUPIGWA URENO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg8SkPMMIz-zwgl0Ny5NYZB_zoZ6kXt7CzpWtMSMl8IM2Nlnad6NNpOhjqXBInlkzx2CgTMlEQTLKUJGQ7J5VL2Ga_qW7uUidtBoRKelHh6tExQGhH4ovOf45xowTZzXAc2s0vqzT5YFxn1/w640-h400/Uswis.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg8SkPMMIz-zwgl0Ny5NYZB_zoZ6kXt7CzpWtMSMl8IM2Nlnad6NNpOhjqXBInlkzx2CgTMlEQTLKUJGQ7J5VL2Ga_qW7uUidtBoRKelHh6tExQGhH4ovOf45xowTZzXAc2s0vqzT5YFxn1/s72-w640-c-h400/Uswis.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/fainali-ya-ligi-ya-mabigwa-ulaya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/fainali-ya-ligi-ya-mabigwa-ulaya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy