DUBE ANAITAKA TUZO YA UFUNGAJI BORA BONGO
HomeMichezo

DUBE ANAITAKA TUZO YA UFUNGAJI BORA BONGO

  M SHAMBULIAJI  tegemeo ndani ya  kikosi cha Azam  FC, Prince Dube raia wa  Zimbabwe amesema atazidi  kupambania ndoto zake za  kuwa mfun...

SIMBA YATAKA KUSEPA NA UBINGWA MBELE YA YANGA
JEMBE LA KAZI YANGA LARUDI KAZINI, KAMILI KUIVAA SIMBA
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI

 MSHAMBULIAJI tegemeo ndani ya kikosi cha Azam FC, Prince Dube raia wa Zimbabwe amesema atazidi kupambania ndoto zake za kuwa mfungaji bora msimu huu ndani ya Ligi Kuu Bara.

 

Dube ameyasema hayo baada ya kufikisha mabao 12 na kuwa kinara akimzidi bao moja Meddie Kagere wa Simba.

 

Kwa misimu miwili mfululizo, Kagere amefanikiwa kutwaa Tuzo ya Ufungaji Bora katika Ligi Kuu Bara na msimu huu anaifukuzia kwa mara ya tatu.


Kwa sasa Kagere ndani ya Simba ametupia mabao 11 anafuatiwa na John Bocco mwenye mabao 10 kibindoni.


Dube amesema: “Nawashukuru wachezaji wenzangu kwani mara zote wamekuwa wakinipa nafasi mimi ya kufunga na kunisogeza karibu na ndoto zangu.

 

“Ni ndoto yangu kuwa mfungaji bora ila nikiikosa basi nitahakikisha naisaidia timu yangu kufanya vizuri kwa kila mechi na nitakapopata nafasi ya kufunga basi nitaitumia vizuri," .


Bao la 12 la Dube alifunga Uwanja wa Mkapa mbele ya Yanga kwa kumtungua Faroukh Shikalo akiwa nje ya 18.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: DUBE ANAITAKA TUZO YA UFUNGAJI BORA BONGO
DUBE ANAITAKA TUZO YA UFUNGAJI BORA BONGO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgOUjZDj0kexv1glFxvN31FqKaXCurZt039fucAtDRye2h5lpH1iYWDiJVRG09mgDgxwCpcfbdHmxxTK7eXyGrRbXzqJHAo5yPEr1VaxRIZVI4nXJuccb6GLcDJyje2g8e5OBAK5vNKToJq/w574-h640/Dube+para.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgOUjZDj0kexv1glFxvN31FqKaXCurZt039fucAtDRye2h5lpH1iYWDiJVRG09mgDgxwCpcfbdHmxxTK7eXyGrRbXzqJHAo5yPEr1VaxRIZVI4nXJuccb6GLcDJyje2g8e5OBAK5vNKToJq/s72-w574-c-h640/Dube+para.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/dube-anaitaka-tuzo-ya-ufungaji-bora.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/05/dube-anaitaka-tuzo-ya-ufungaji-bora.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy