YANGA NA JUMA MWAMBUSI KUHUSU KUREJEA KWAKE WAMEFIKIA HAPA
HomeMichezo

YANGA NA JUMA MWAMBUSI KUHUSU KUREJEA KWAKE WAMEFIKIA HAPA

  K WA  kauli ya kiungwana  aliyoitoa ya Kaimu Katibu  Mkuu wa Yanga, Haji  Mfikirwa sasa ni wazi kuwa  aliyekuwa Kaimu Kocha  Mkuu wa Ya...

 


KWA kauli ya kiungwana aliyoitoa ya Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga, Haji Mfikirwa sasa ni wazi kuwa aliyekuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga, Juma Mwambusi atakuwa rasmi ameachana na klabu hiyo tangu zilipoibuka taarifa zake za kwenda kwao Mbeya kwa ajili ya kuhani msiba wa nduguye.

 

Tangu Mwambusi akabidhiwe mikoba ya aliyekuwa kocha wao, Cedrick Kaze amedumu na kikosi hicho kwa takribani miezi miwili, ambapo ameisaidia timu kuvuna pointi 7, kwenye michezo mitatu aliyohudumu kama mkuu wa benchi la ufundi.

 

Kwani kabla Yanga haijaruhusu kichapo cha pili kwenye Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC, Jumapili iliyopita timu ikiwa chini ya Mtunisia Nasreddine Al Nabi, kwenye mchezo uliyochezwa Jumapili iliyopita, Mwambusi aliiongoza kupata sare dhidi ya KMC na baadaye akavuna pointi tatu dhidi ya Mtibwa Sugar kisha dhidi ya Gwambina FC.

 

Championi Ijumaa limezungumza na Kaimu Mwenyekiti wa Yanga, Haji Mfikirwa ambaye ameweka wazi kuwa, wao kama klabu tayari wameshafanikisha nia yao ya kupata safu mpya ya benchi la ufundi, jambo ambalo liliwafanya wamuombe Mwambusi kukaimu nafasi hiyo.

 

“Kikubwa unachotakiwa kufahamu ni kwamba, timu tayari ipo chini ya kocha wetu mpya, ambaye tayari ameshaanza kazi, hatukuwa na sababu ya kumzuia kutumia muda wa mapumziko yake kwenda msibani, jambo la msingi ni kwamba alifiwa na mtu muhimu kwake, anatumia muda huo kupumzika hadi pale atakapokuja tutaona cha kufanya,” alisema Mfikirwa.

 

Championi Ijumaa lilimtafuta Mwambusi ili azungumzie safari yake hiyo ambapo alisema: “Kama ulivyotaarifiwa ni kweli nipo msibani na ninaomba sasa uniache nitumie muda huu kupumzika," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA NA JUMA MWAMBUSI KUHUSU KUREJEA KWAKE WAMEFIKIA HAPA
YANGA NA JUMA MWAMBUSI KUHUSU KUREJEA KWAKE WAMEFIKIA HAPA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi6dTK48o64Txy1PHV-e-_lZP2Itr5RIDxmWNkrO3HKsHau1kyUJdUAZr7YxmbyYtPKeLsmSy14sUQaqCPmF_VXysaAXXzquaOmjxk36xVqMIjriyuxNHUjQRzVJjgF1lUq5MnmM9IGQAha/w640-h640/Mwambusi+Mpya.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi6dTK48o64Txy1PHV-e-_lZP2Itr5RIDxmWNkrO3HKsHau1kyUJdUAZr7YxmbyYtPKeLsmSy14sUQaqCPmF_VXysaAXXzquaOmjxk36xVqMIjriyuxNHUjQRzVJjgF1lUq5MnmM9IGQAha/s72-w640-c-h640/Mwambusi+Mpya.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/yanga-na-juma-mwambusi-kuhusu-kurejea.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/yanga-na-juma-mwambusi-kuhusu-kurejea.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy