LEO Aprili 22 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ambapo mechi mbili zitachezwa viwanja viwili tofauti. Ihefu FC ya Zuber Katwila iliyo...
LEO Aprili 22 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ambapo mechi mbili zitachezwa viwanja viwili tofauti.
Ihefu FC ya Zuber Katwila iliyo na pointi 24 nafasi ya 17 itamenyana na Tanzania Prisons iliyo nafasi ha 9 na pointi 34.
Mechi hii itachezwa Uwanja wa Hoghlands, Mbeya.
Dodoma Jiji ya Mbwana Makata iliyo nafasi ya 7 itamenyana na Azam FC ya George Lwandamina iliyo nafasi ya tatu na pointi 50.
Mechi hii itapigwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS