Rais Samia: Nitadumisha Mazuri Yaliyopita na Kuleta Mapya
HomeHabari

Rais Samia: Nitadumisha Mazuri Yaliyopita na Kuleta Mapya

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kuwa dira na mwelekeo wa awamu ya sita itakuwa ni  kudumisha mazuri ...

Rais Samia awatembelea wakulima wa wilaya ya Namtumbo.
Habari kubwa Magazetini Kenya leo June 8, 2024
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo June 8, 2024


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kuwa dira na mwelekeo wa awamu ya sita itakuwa ni  kudumisha mazuri ya awamu zilizopita,  kuyaendeleza mema yaliyopo na kuleta mengine mapya.

Rais Samia ametoa kauli hiyo Aprili 22, 2021 wakati akilihutubia Bunge la Tanzania kwa mara ya kwanza tangu alipokuwa Rais pamoja na kutoa mwongozo wa serikali ya awamu ya sita.

“Naomba nieleze Bunge hili tukufu pamoja na Watanzania kuwa dira na mwelekeo wa awamu ya sita itakuwa ni  kudumisha mazuri ya awamu zilizopita,  kuyaendeleza mema yaliyopo na kuleta mengine mapya. Kimsingi ndio dhana na maana halisi ya kauli mbiu au salamu yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kazi iendelee, tutaenzi na kuendeleza mambo yote mazuri lakini pia tutafanya mabadiliko pale itakapobidi kwa lengo la kukuza ufanisi na tija,” amesema Rais Samia.

Ameongeza kuwa, “Nimekuja kulihutubia Bunge baada ya Nchi yetu kupita kwenye kipindi kigumu, kama inavyokumbukwa March 17 Taifa letu lilipata msiba mkubwa wa kuondokewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Magufuli,hivyo tusimame kumuombea Mpendwa wetu”.

Katika hatua nyingine amemshukuru aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Hayati Dkt. John Magufuli kwa kumuamini na kumpendekeza kuwa mgombea mwenza katika uchaguzi wa 2015 ambapo alipata nafasi ya kuwa Makamu wa Rais wa kwanza mwanamke na hatimaye kuwa Rais.

“Kuniamini kwa Hayati Magufuli kuwa Mgombea Mwenza wake kumeniwezesha leo hii kuwa Mwanamke wa Kwanza Tanzania kushika nafasi ya Umakamu wa Rais na hatimaye sasa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, niliwahi kusema na leo narudia tena kwamba Mimi na Hayati Magufuli ni kitu kimoja, kwahiyo mengi ambayo nimepanga kuyatekeleza ni yale ambayo yalielezwa na Hayati Magufuli wakati akilizindua Bunge hili”, ameongeza Rais Samia.




Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Rais Samia: Nitadumisha Mazuri Yaliyopita na Kuleta Mapya
Rais Samia: Nitadumisha Mazuri Yaliyopita na Kuleta Mapya
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgDtoma2ysGHtirtnzNMHgWWE_m9F6tx0kls5Cpb5xXZLKCdlB-5QL2ng6DWnqMIVhXGFIWGHMzR9reKY9Xey9GeK5RvC4redmp2voKtS6vmE6P5S9nCfo3yCgYz2EpdIVADrlH3jkfj06M/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgDtoma2ysGHtirtnzNMHgWWE_m9F6tx0kls5Cpb5xXZLKCdlB-5QL2ng6DWnqMIVhXGFIWGHMzR9reKY9Xey9GeK5RvC4redmp2voKtS6vmE6P5S9nCfo3yCgYz2EpdIVADrlH3jkfj06M/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/rais-samia-nitadumisha-mazuri.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/rais-samia-nitadumisha-mazuri.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy