NADO ATAJA SABABU ZA KUSAINI DILI JIPYA AZAM FC
HomeMichezo

NADO ATAJA SABABU ZA KUSAINI DILI JIPYA AZAM FC

KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Idd Seleman, 'Nado' amesema kuwa sababu kubwa iliyomfanya aweze kuongeza mkataba wa kuendelea kuk...

JEMBE JIPYA YANGA LAANZA KAZI
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI
BIASHARA UNITED KAMILI GADO KWA MZUNGUKO WA PILI


KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Idd Seleman, 'Nado' amesema kuwa sababu kubwa iliyomfanya aweze kuongeza mkataba wa kuendelea kukitumikia kikosi hicho ni makubaliano waliyofikia na uongozi na kuahidi kuzidi kupambana.

Jana, Aprili 13, Nado alisaini dili jipya la miaka miwili kwa kuboresha mkataba wake ambao ulikuwa unakaribia kufika ukingoni.

Nado alisaini mkataba huo mbele ya Ofisa Mtendaji Mkuu, Abdulkarim Amin 'Popat', utakaomfanya aendelee kusalia Azam FC hadi mwaka 2024.

Kiungo huyo ambaye aliibuka ndani ya Azam FC akitokea Klabu ya Mbeya City amehusika kwenye mabao 12, ametupia mabao 7 na pasi tano za mwisho kati ya mabao 36.

Nado amesema:"Bado niponipo kwa sasa Azam na ninapenda kuwaambia kwamba mashabiki nimeongeza mkataba wangu kwa miaka miwili baada ya kuzungumza kwa kina na viongozi, hivyo nina miaka mitatu hapa Azam.

"Awali mkataba wangu ulikuwa umebaki na mwaka mmoja, nipo Azam na ninafurahi kuwa hapa nina amini kwamba nitaendelea kupambana kwa sababu mimi ni mpambanaji," . 


Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NADO ATAJA SABABU ZA KUSAINI DILI JIPYA AZAM FC
NADO ATAJA SABABU ZA KUSAINI DILI JIPYA AZAM FC
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi4l06bohCj3FYPmZ45U-rrx5yNoWmqcMi3WJj2-18p9ccBXLsSoi_9T11tNGmwfhtHjEzCzm4Bq2SE1rxozH4BN9W6-v60WHKDWSnpQrAg3KuTr5Yn36zkKo5hh0MwJcbOFJe4S23kdwsn/w640-h558/Nado+mkataba.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi4l06bohCj3FYPmZ45U-rrx5yNoWmqcMi3WJj2-18p9ccBXLsSoi_9T11tNGmwfhtHjEzCzm4Bq2SE1rxozH4BN9W6-v60WHKDWSnpQrAg3KuTr5Yn36zkKo5hh0MwJcbOFJe4S23kdwsn/s72-w640-c-h558/Nado+mkataba.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/nado-ataja-sababu-za-kusaini-dili-jipya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/nado-ataja-sababu-za-kusaini-dili-jipya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy