MOURINHO ATUPA KIJEMBE KIMTINDO KWA OLE GUNNAR
HomeMichezo

MOURINHO ATUPA KIJEMBE KIMTINDO KWA OLE GUNNAR

 KOCHA Mkuu wa Tottenham,  Jose Mourinho amezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii siku ya Jumapili baada ya kocha wa Manchester United Ole ...

VIDEO: TAMBO ZA HAJI MANARA KUHUSU SIMBA NA KAMPUNI YA VUNJABEI
NENO LA NCHIMBI BAADA YA KUFUNGA BAO MBELE YA GWAMBINA
HIZI HAPA LEO ZA LIGI KUU BARA KUCHEZWA

 KOCHA Mkuu wa Tottenham, Jose Mourinho amezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii siku ya Jumapili baada ya kocha wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer kutoa maoni binafsi dhidi ya kitendo cha Son Heung-min kilichopelekea kukataliwa kwa goli la Edinson Cavani.

 

Ole Gunnar hakufurahia kitendo cha nyota huyo wa Spurs, Son na baada ya mechi alimfuata na kumuambia ”Kama mtoto wangu angekaa chini kwa dakika tatu akihitaji wenzake 10 waje kumsaidia kuinuka, basi asingepata chakula.”


Kauli hiyo aliitoa baada ya Son Heung-min kukaa chini kwa dakika kadhaa kufuati kuchezewa faulo na Scott McTominay mpaka Cavani anafunga bao akiwa hajainuka na ndipo goli hilo kukataliwa baada ya mwamuzi kupata msaada wa VAR.

 

Jose Mourinho ameonyesha kukerwa na maneno hayo ya Ole Gunnar na yeye kuamua kumjibu kwa kauli iliyozua gumzo kwenye mitandao ya kijamii ”Kwanza kabla ya yote wacha niwaambie kitu, nimeshangazwa na maoni ya Ole kwa Sonn na hamjaniuliza kuhusiana na hilo.”

 

”Nimemwambia Ole kuhusu hili tayari, kama ingekuwa mimi kumuambia mchezaji wa klabu nyingine A, B au C, kama angekuwa mtoto wangu nisingempa chakula cha usiku, unadhani ni kauli ya namna gani ?.”

 

 ”Nataka kusema kwa Sonn, ana bahati sana kuwa na baba bora kuliko Ole. Mimi ni baba, nafikiri kama baba siku zote utahakikisha una chakula cha kumpatia mtoto wako, bila kujali kitu gani anafanya. Hata kama ni kuiba basi utakuwa tayari kuiba lakini mtoto wako ale.”

 

 

Katika mchezo huo Manchester United ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa magoli 3 – 1 dhidi ya Tottenham.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MOURINHO ATUPA KIJEMBE KIMTINDO KWA OLE GUNNAR
MOURINHO ATUPA KIJEMBE KIMTINDO KWA OLE GUNNAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgl-9Gt4QR1aA7vErXIWPHGOZY7F-ZDbwYsTtAIl7Isx49tsunDqnmQxJElTY1-LLm375VuYMVl5bkFfV1PFk550pqicAT5RjrfBqJ8dI5p_reHhccMWGiZhMcKc909a9f-z7PgBqpkRJ_A/w640-h428/Mourinho+haelewi.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgl-9Gt4QR1aA7vErXIWPHGOZY7F-ZDbwYsTtAIl7Isx49tsunDqnmQxJElTY1-LLm375VuYMVl5bkFfV1PFk550pqicAT5RjrfBqJ8dI5p_reHhccMWGiZhMcKc909a9f-z7PgBqpkRJ_A/s72-w640-c-h428/Mourinho+haelewi.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/mourinho-atupa-kijembe-kimtindo-kwa-ole.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/mourinho-atupa-kijembe-kimtindo-kwa-ole.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy