Majaliwa: Serikali Itayafanyia Kazi Malalamiko Ya Ukaguzi Mirerani
HomeHabari

Majaliwa: Serikali Itayafanyia Kazi Malalamiko Ya Ukaguzi Mirerani

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imepokea na itayafanyia kazi  malalamiko ya wabunge juu ya utaratibu  wa ukaguzi unaofanywa ...


WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imepokea na itayafanyia kazi  malalamiko ya wabunge juu ya utaratibu  wa ukaguzi unaofanywa kwenye mgodi wa  Mererani,

“Nimesikia concern ya namna ukaguzi unavyoendelea pale katika mgodi wa Mirerani, nilipanga kutembelea Mirerani ili kuona hali hiyo na kutafuta ufumbuzi, nikuahidi Mhe. Spika na waheshimiwa wabunge kwamba tumepokea na Serikali tutalifanyia kazi,” amesema.

Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo jana  (Alhamisi, Aprili 29, 2021) wakati akijibu hoja ya Mbunge wa Simanjiro Christopher Ole Sendeka ambaye ambaye alitaka maelezo juu ya utaratibu wa ukaguzi katika mgodi huo. Mbunge huyo alikuwa akichangia mjadala wa hotuba makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Madini.

Amesema Serikali inapata fedha nyingi kupitia madini ya Tanzanite yanayochimbwa katika mgodi huo hivyo haiwezi kushindwa kununua mtambo unaoweza kufanya ukaguzi wenyewe bila kusumbua mtu.

 
 IMETOLEWA NA:
OFISI YA WAZIRI MKUU


Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Majaliwa: Serikali Itayafanyia Kazi Malalamiko Ya Ukaguzi Mirerani
Majaliwa: Serikali Itayafanyia Kazi Malalamiko Ya Ukaguzi Mirerani
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhfhbq0neys-wPuBNBovAvLkTX0M4s0iG5Jm-HHGIRopdSON4b5l0f-4z5dToOXEU1G4-LHVHp_tT1rwhu0KcP5opoNGIeq11kq2WCj_1ao7USlFWkLcWQGo7uc-UmmB_HrXn5geo87lKiv/s16000/1.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhfhbq0neys-wPuBNBovAvLkTX0M4s0iG5Jm-HHGIRopdSON4b5l0f-4z5dToOXEU1G4-LHVHp_tT1rwhu0KcP5opoNGIeq11kq2WCj_1ao7USlFWkLcWQGo7uc-UmmB_HrXn5geo87lKiv/s72-c/1.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/majaliwa-serikali-itayafanyia-kazi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/majaliwa-serikali-itayafanyia-kazi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy