LUIS MIQUISSONE WA SIMBA AFUNGUKIA MASHABIKI KUMFANANISHA NA MESSI
HomeMichezo

LUIS MIQUISSONE WA SIMBA AFUNGUKIA MASHABIKI KUMFANANISHA NA MESSI

  K IUNGO mshambuliaji wa Simba, Luis  Miquissoine ‘Konde Boy’ raia wa  Msumbiji ameibuka na kuweka wazi juu  ya mashabiki wa timu hiyo ku...


 KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Luis Miquissoine ‘Konde Boy’ raia wa Msumbiji ameibuka na kuweka wazi juu ya mashabiki wa timu hiyo kumfananisha na mshambuliaji wa Barcelona, Lionel Messi.

 

Luis ametoa kauli hiyo akiwa amefanikiwa kuifungia mabao matatu katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi akiwa mchezaji pekee wa timu hiyo aliyetupia zaidi mpaka sasa akifuatiwa na Mzambia, Claotus Chama mwenye mawili.


Staa huyo mwenye kasi uwanjani amefichua kuwa moja sababu ya mashabiki kumuita Messi imetokana na yeye kujituma zaidi ndani ya uwanja hivyo anachukulia sawa kwa kuwa inampa nguvu ya kuendelea kupambana.

 

“Unajua watu kwenye soka wanapenda kufananisha chochote kile ambacho wao wanaona kitakuwa kinafaa zaidi kwao mimi ni Miquissoine nitabakia kuwa hivyo kwa sababu nacheza aina ya mpira wangu ambo nimeuzoea.

 

“Lakini watu wengi wamezoea kunifananisha hata kama wao wananiambia kwamba mimi ni Messi naona sawa kwa sababu Messi ni mchezaji mkubwa ila najivunia kwa kuwa ananipa nguvu zaidi ya kuweza kupambana na kufunga zaidi,” amesema Miquissone.


Luis amekuwa kwenye ubora ndani ya Simba ambayo kesho Aprili 9 itamenyana na Al Ahly kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.


Mchezo wa kwanza walipokutana Uwanja wa Mkapa, ubao ulisoma Simba 1-0 Al Ahly na bao lilipachikwa na Konde Boy.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: LUIS MIQUISSONE WA SIMBA AFUNGUKIA MASHABIKI KUMFANANISHA NA MESSI
LUIS MIQUISSONE WA SIMBA AFUNGUKIA MASHABIKI KUMFANANISHA NA MESSI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhuxO2Jqzpjx9TiZ-71lblJxVfGtHXJxTchPe3qIrnw4JvhZYb59NbhDmjFsADSoHoIRRAvDNEfa8pgC6EERO_n2U3SXhDd2HBRzIa-97-U3xWb0N_oMiqMYwSVgcrRC3uqas0p7k_D11aB/w640-h428/Luis+v+Al+Merrikh.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhuxO2Jqzpjx9TiZ-71lblJxVfGtHXJxTchPe3qIrnw4JvhZYb59NbhDmjFsADSoHoIRRAvDNEfa8pgC6EERO_n2U3SXhDd2HBRzIa-97-U3xWb0N_oMiqMYwSVgcrRC3uqas0p7k_D11aB/s72-w640-c-h428/Luis+v+Al+Merrikh.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/luis-miquissone-wa-simba-afungukia.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/luis-miquissone-wa-simba-afungukia.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy