LIONEL MESSI ASHAWISHIWA KUONGEZA MKATABA BARCELONA
HomeMichezo

LIONEL MESSI ASHAWISHIWA KUONGEZA MKATABA BARCELONA

  BAADA ya Barcelona kufanikiwa kutwaa taji la Copa del Rey, Rais wa klabu hiyo, Joan Laporta amesema kuwa anajaribu kumshawishi Lionel M...

SAUTI: MAKAMBO AAHIDI MAKUBWA YANGA,KUWAJAZA KAMA KAWAIDA
TROY DEENEY MALI YA BIRMIGHAM
LIVERPOOL WATAJWA KUWA KWENYE RADA ZA MASTAA KIBAO, TRAORE,MBAPPE

 


BAADA ya Barcelona kufanikiwa kutwaa taji la Copa del Rey, Rais wa klabu hiyo, Joan Laporta amesema kuwa anajaribu kumshawishi Lionel Messi asalie kikosini hapo.

Mkataba wa Messi ndani ya Barcelona unatarajiwa kumeguka mwishoni mwa msimu huu na mpaka sasa hakuna makubaliano ya kuongeza mkataba.

Nyota huyo amekuwa akitajwa kuwa anahitaji kuondoka ndani ya Barcelona ambapo miongoni mwa timu ambazo zinatajwa kuiwinda saini yake ni pamoja na Manchester City ambayo inashiriki Ligi Kuu England.

Rais Laporta amesema:"Nashawishika kusema kama Messi anataka kubaki lakini nitaendelea kumshawishi ili kuhakikisha anasalia ndani ya klabu yetu.

"Nataka kuona anaendelea kuwa hapa kupambana na kutwaa mataji mengi zaidi kama ambavyo aliongeza kombe lingine hivi karibuni," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: LIONEL MESSI ASHAWISHIWA KUONGEZA MKATABA BARCELONA
LIONEL MESSI ASHAWISHIWA KUONGEZA MKATABA BARCELONA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgKmboz7sGNZvppA_P7V43lEbqjIe1moEAaXvztkMahWTz2fTB_4Kfl89mEoVCQjdJTNwBOv-FguhWhRVx2uBSuw0Tq_Rl0tYbj4nMWi5RYMWiq1CM4PxRpWcA9EFmdZ37a-yw4O_U_3VYO/w640-h640/IMG_20210422_073546_812.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgKmboz7sGNZvppA_P7V43lEbqjIe1moEAaXvztkMahWTz2fTB_4Kfl89mEoVCQjdJTNwBOv-FguhWhRVx2uBSuw0Tq_Rl0tYbj4nMWi5RYMWiq1CM4PxRpWcA9EFmdZ37a-yw4O_U_3VYO/s72-w640-c-h640/IMG_20210422_073546_812.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/lionel-messi-ashawishiwa-kuongeza.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/lionel-messi-ashawishiwa-kuongeza.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy