KMC YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA YANGA
HomeMichezo

KMC YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA YANGA

 CHRISTINA Mwagala, Ofisa Habari wa KMC amesema kuwa kikosi kipo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga.  Mchezo ...

DIDIER GOMES ATAMBIA MABAO YAKE 37
MZEE MPILI AUGUA GHAFLA DAR, AREJEA IKWIRIRI
DIEGO MITATU TENA

 CHRISTINA Mwagala, Ofisa Habari wa KMC amesema kuwa kikosi kipo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga. 

Mchezo huo ambao ni wa mzunguko wa pili unatarajiwa kuchezwa Aprili 10, Uwanja wa Mkapa majira ya saa 1:00 usiku.

Walipokutana Uwanja wa CCM Kirumba mzunguko wa kwanza ubao ulisoma, KMC 1-2 Yanga hivyo utakuwa ni mchezo wa kulinda rekodi kwa Yanga na kisasi kwa KMC.

Christina amesema:"Kila kitu kipo sawa na wachezaji wanahitaji kufanya vizuri ili kupata pointi tatu,mazoezi ambayo wanayafanya yanaamanisha kwamba wanahitaji ushindi.

"Benchi la ufundi linafanya kazi kwa usawa ili kuona namna gani vijana wanaweza kuibuka na ushindi kwenye mechi yetu dhidi ya Yanga pamoja na mechi nyingine," ,

Yanga kwenye msimamo ipo nafasi ya kwanza na pointi zake ni 50, KMC ipo nafasi ya tano na pointi zake ni 35.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KMC YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA YANGA
KMC YAZIPIGIA HESABU POINTI TATU ZA YANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjttUE2YPeAmoiRGgY_ysQ6qj90ZBjfKdNm67pOOmX66JMJRpmeYOxFJUtGyZzkL8PDtREli6X3n8-cBjiXJzqoYvaKs2HrQCEx0PMqAcJGou3VVzM_5Vzo30M0NIQieb5Qkcj4077wZHAs/w640-h426/IMG_20210408_050558_101.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjttUE2YPeAmoiRGgY_ysQ6qj90ZBjfKdNm67pOOmX66JMJRpmeYOxFJUtGyZzkL8PDtREli6X3n8-cBjiXJzqoYvaKs2HrQCEx0PMqAcJGou3VVzM_5Vzo30M0NIQieb5Qkcj4077wZHAs/s72-w640-c-h426/IMG_20210408_050558_101.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/kmc-yazipigia-hesabu-pointi-tatu-za.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/04/kmc-yazipigia-hesabu-pointi-tatu-za.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy