IMEELEZWA kuwa Julien Nagelsmann ambaye ni Kocha Mkuu wa Klabu ya RB Leipzig atapewa mikoba ya Jose Mourinho ambaye amefutwa kazi ndani...
IMEELEZWA kuwa Julien Nagelsmann ambaye ni Kocha Mkuu wa Klabu ya RB Leipzig atapewa mikoba ya Jose Mourinho ambaye amefutwa kazi ndani ya Klabu ya Tottenham Hotspurs.
Spurs baada ya kumfuta kazi Mourinho kutokana na kushindwa kuwa na mwendo mzuri ipo chini ya Ryna Mason mwenye miaka 29 ambaye anatoka katika Akadem ya Tottenham atafanya kazi hiyo mpaka Kocha mpya atakapopatikana.
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS