Waasi wa Houthi wazishumbulia taasisi za mafuta za Saudi Arabia
HomeHabari

Waasi wa Houthi wazishumbulia taasisi za mafuta za Saudi Arabia

Waasi wa Houthi nchini Yemen wenye mafungamano na Iran wamerusha ndege 14 zisizo na rubani na makombora 8 katika taasisi za shirika la ma...

RC Tabora Atoa Onyo Kwa Wavamizi Waliobaki Katika Hifadhi Ya Msitu Wa Isawima Wilayani Kaliua
Prof. Kabudi Atembelea Miradi Ya Kimkakati Inayotekelezwa Na Serikali Mkoani Kigoma
Kaze Afutwa Kazi Yanga


Waasi wa Houthi nchini Yemen wenye mafungamano na Iran wamerusha ndege 14 zisizo na rubani na makombora 8 katika taasisi za shirika la mafuta linalomilikiwa na serikali ya Saudi Arabia, Saudi Aramco mjini Ras Tanura na katika ngome za kijeshi katika miji ya Dammam, Asir na Jazan nchini Saudi Arabia. 

Haya yamesemwa jana na msemaji wa kundi hilo la waasi wa Houthi katika kile ambacho serikali ya nchi hiyo imekitaja kuwa shambulio lililotibuka dhidi ya usalama wa nishati duniani.

 Wizara ya nishati ya Saudi Arabia imesema kuwa uwanja wa kuhifadhi mafuta huko Ras Tanura ambalo ni eneo la kusafisha mafuta na kubwa zaidi ulimwenguni la kupakia mafuta pwani, ulishambuliwa na ndege isiyokuwa na rubani iliyotokea upande wa baharini lakini ndege hiyo iliyokuwa na silaha ilinaswa na kuharibiwa kabla ya kufikia lengo lake. 

Katika ujumbe kupitia taarifa msemaji wa wizara hiyo amesema kuwa vitendo kama hivyo havilengi tu taifa hilo la kifalme lakini pia usalama na uthabiti wa kusambazwa kwa bidhaa za nishati duniani na hivyo basi uchumi wa dunia.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Waasi wa Houthi wazishumbulia taasisi za mafuta za Saudi Arabia
Waasi wa Houthi wazishumbulia taasisi za mafuta za Saudi Arabia
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEielHlYNYb2vcmpYrAnyc3MjvtWdJhNBQ4v2nW0p0_G-640GrkkpEUtPaLXFfcwAA_diw3qYZgZLrOCV0B66LbrW29Hq_jVEIy2CbRNOGCXAYkx9mJsXU_IkWxyuNWugGaUFH2zYN1J8Uid/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEielHlYNYb2vcmpYrAnyc3MjvtWdJhNBQ4v2nW0p0_G-640GrkkpEUtPaLXFfcwAA_diw3qYZgZLrOCV0B66LbrW29Hq_jVEIy2CbRNOGCXAYkx9mJsXU_IkWxyuNWugGaUFH2zYN1J8Uid/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/waasi-wa-houthi-wazishumbulia-taasisi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/waasi-wa-houthi-wazishumbulia-taasisi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy