STARS KUIFUATA KENYA LEO
HomeMichezo

STARS KUIFUATA KENYA LEO

  KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania kinachonolewa na Kocha Mkuu, Kim Poulsen leo Machi 13 kinatarajiwa kukwea pipa kuelekea Kenya amba...

 


KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania kinachonolewa na Kocha Mkuu, Kim Poulsen leo Machi 13 kinatarajiwa kukwea pipa kuelekea Kenya ambapo kitakuwa na mechi mbili za kirafiki.

Mechi ya kwanza itakuwa Machi 15 na 18 ambapo ni maalumu kwa ajili ya kujenga hali ya kujiamini kwa kikosi hicho ambacho kimejumuisha nyota 40.

Maandalizi ya mechi hizo ni kwa ajili ya mechi za kufuzu Afcon ambapo itakuwa ni dhidi ya Equatorial Guinea ambayo itachezwa Machi 25 na dhidi ya Libya Machi 28 ambapo Stars ipo kundi J.

Poulsen amesema:"Maandalizi yapo sawa na nina amini kwamba kila mchezaji atapambana kusaka ushindi katika mechi ambazo tutacheza.

"Kila mmoja amekuwa akipambana kwenye mazoezi na inatoa picha kwamba tutafanya vizuri na tupo tayari katika kusaka ushindi,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: STARS KUIFUATA KENYA LEO
STARS KUIFUATA KENYA LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhbhyphenhyphenXlwNqNyfL_nsj2RkHEXnite90oRUx92Nq871UQrhA38brfE4azuW7qJD45y-zKRG2o31TRN1EDEIDuQqPb4JN80PsfYJjwDPC6ftbpkpovna2syJvPY7_DPJI-kdyYSLKdFhb0REm7/w640-h596/IMG_20210313_082511_843.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhbhyphenhyphenXlwNqNyfL_nsj2RkHEXnite90oRUx92Nq871UQrhA38brfE4azuW7qJD45y-zKRG2o31TRN1EDEIDuQqPb4JN80PsfYJjwDPC6ftbpkpovna2syJvPY7_DPJI-kdyYSLKdFhb0REm7/s72-w640-c-h596/IMG_20210313_082511_843.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/stars-kuifuata-kenya-leo.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/stars-kuifuata-kenya-leo.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy