Rais Kenyatta azungumzia kifo cha Rais Magufuli...."Nimepoteza rafiki"
HomeHabari

Rais Kenyatta azungumzia kifo cha Rais Magufuli...."Nimepoteza rafiki"

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametoa salamu za pole kwa Serikali ya Tanzania na Watanzania wote kufutia kifo cha Rais Dkt John Magufuli ki...


Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ametoa salamu za pole kwa Serikali ya Tanzania na Watanzania wote kufutia kifo cha Rais Dkt John Magufuli kilichotokea hapo jana mkoani Dar es salaam.

Akilihutubia Taifa la Kenya kufuatia msiba wa Rais Magufuli, Rais Kenyatta amesema Kenya  imesikitishwa na kifo cha Rais Maguful.

Amesema binafsi alikuwa akishirikiana kwa karibu na Rais Magufuli na kuongeza kuwa amepoteza ndugu, rafiki na Kiongozi mwenzake.

“Ninakumbuka mara nyingi tulikutana na kuongea kuhusu maendeleo ya nchi zetu mbili, safari yake rasmi alipotembelea Kenya tulifungua barabara na pia alinipatia heshima kubwa sana kwa kumtembelea mama yangu na pia alinialika Tanzania ambapo na mimi pia nilipata fursa ya kutembelea Chato na kuonana na mama yake na tulilala pale nyumbani kwake na kufanya mazungumzo ya kina kuhusu uhusiano wetu kama wanachama wa Afrika Mashariki."-Kenyatta

Amesema Kenya iko pamoja na Tanzania katika kuomboleza msiba huo mkubwa na itaendelea kushirikiana na Tanzania hadi siku ya kupumzishwa kwa Dkt Magufuli katika nyumba yake ya milele.

“Asubuhi ya leo nilipata nafasi ya kungea na Makamu wa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na kumpa pole na kumhakikishia kwamba tutaendelea kushirikiana na serikali ya Tanzania hadi kuhakikisha kwamba tumempuzisha rafiki yetu na kuendela na msimamo wake wa kuunganisha wananchi wa Afrika Mashariki,” amesema Rais Kenyatta.



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Rais Kenyatta azungumzia kifo cha Rais Magufuli...."Nimepoteza rafiki"
Rais Kenyatta azungumzia kifo cha Rais Magufuli...."Nimepoteza rafiki"
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiBBiL8qqBy5f5KIMgF5i3Zn6MOCr7WTMxBl8RTfetOffMW-06_FVnOfac6j9AaSVxsMjpCdKHCLw48cALSvezFKOFYW59WpKKF1IW4R6z7oajp1g_oDfwAgfu7jcz1hY_nZeimBf42dlNV/s16000/1.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiBBiL8qqBy5f5KIMgF5i3Zn6MOCr7WTMxBl8RTfetOffMW-06_FVnOfac6j9AaSVxsMjpCdKHCLw48cALSvezFKOFYW59WpKKF1IW4R6z7oajp1g_oDfwAgfu7jcz1hY_nZeimBf42dlNV/s72-c/1.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/rais-kenyatta-azungumzia-kifo-cha-rais.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/rais-kenyatta-azungumzia-kifo-cha-rais.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy