MIGNE ATAJWA KUWA MRITHI WA MIKOBA YA KAZE YANGA
HomeMichezo

MIGNE ATAJWA KUWA MRITHI WA MIKOBA YA KAZE YANGA

IMEELEZWA kuwa jina la Sebastian Migne lina asilimia kubwa kupitishwa kuwa kocha mkuu ndani ya kikosi hicho ambacho kinaongoza ligi kwa sa...


IMEELEZWA kuwa jina la Sebastian Migne lina asilimia kubwa kupitishwa kuwa kocha mkuu ndani ya kikosi hicho ambacho kinaongoza ligi kwa sasa na pointi 50.

 Kamati ya Ufundi ya Yanga iliyo chini ya  Dominic Albinius, itakutana Jumamosi hii tayari kwa ajili ya kumuandalia tiketi kocha huyo atakayepitishwa.

Mpaka sasa, kocha anayetajwa zaidi ni Migne aliyewahi kuzifundisha timu za taifa za Kenya, DR Congo na Guinea Ikweta. 


Pia kocha mwingine ambaye anapewa nafasi ya kuja kuchukua mikoba ya Cedric Kaze ni Mserbia, Nikola Kavazovic.


Kaze alifutwa kazi Machi 7 kwa kile ambacho kilielezwa kuwa ni matokeo mabovu ya timu hiyo kwa mzunguko wa pili.


Katika mechi 6, timu ilishinda mchezo mmoja na kulazimisha sare nne huku ikipoteza kwa mara ya kwanza mbele ya Coastal Union, Uwanja wa Mkwakwai Tanga, ubao ulisoma Coastal Union 2-1 Yanga.

 



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MIGNE ATAJWA KUWA MRITHI WA MIKOBA YA KAZE YANGA
MIGNE ATAJWA KUWA MRITHI WA MIKOBA YA KAZE YANGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiZn2QmD9wFvfYmfEIJS04cZ8tEwP4rpSQCTuShnOlb185-jKEBlT4SBMidS-mc6aO1vDZj9WAx4lhHZeLNzYzJf-bLUwhfu6JNvorJj2tMVrmQR6_vBtmg4e4tMsJib31Is_iN7-Npgo8N/w640-h640/Kaze+na+bosi.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiZn2QmD9wFvfYmfEIJS04cZ8tEwP4rpSQCTuShnOlb185-jKEBlT4SBMidS-mc6aO1vDZj9WAx4lhHZeLNzYzJf-bLUwhfu6JNvorJj2tMVrmQR6_vBtmg4e4tMsJib31Is_iN7-Npgo8N/s72-w640-c-h640/Kaze+na+bosi.PNG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/migne-atajwa-kuwa-mrithi-wa-mikoba-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/migne-atajwa-kuwa-mrithi-wa-mikoba-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy