MCHAKATO WA KUMSAKA KOCHA MPYA YANGA UMEFIKA HAPA
HomeMichezo

MCHAKATO WA KUMSAKA KOCHA MPYA YANGA UMEFIKA HAPA

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa licha ya kwamba timu ipo mikononi mwa Kaimu Kocha Mkuu, Juma Mwambusi hawatasimamisha zoezi la kumsaka koc...




UONGOZI wa Yanga umesema kuwa licha ya kwamba timu ipo mikononi mwa Kaimu Kocha Mkuu, Juma Mwambusi hawatasimamisha zoezi la kumsaka kocha mpya.

Yanga ilimfuta kazi Cedric Kaze, Machi 7 kwa kile ambacho walieleza kuwa matokeo yalikuwa mabovu jambo ambalo walikuwa wanatafuta kutibu tatizo hilo.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi ya Yanga, Dominic Albinius amesema kuwa bado mchakato wa kumsaka kocha mpya unaendelea ili waweze kumpata mrithi sahihi wa mikoba ya Kaze.

"Mchakato wa kumsaka kocha mpya unaendelea licha ya kwamba kwa sasa timu ipo chini ya Mwambusi ambaye anaendelea kuisimamia timu.

"Kocha ambaye atapatikana anahitaji muda wa kuisoma timu ili atakapoanza kazi basi asipate tabu katika kusimamia majukumu yake hivyo mashabiki wasiwe na presha," amesema.

Yanga ipo nafasi ya kwanza kwenye msimamo ikiwa na pointi 50 baada ya kucheza mechi 23. Kaze aliongoza timu hiyo kwenye jumla ya mechi 18 kwa kuwa tano ziliongozwa na Zlatko Krmpotic ambaye naye alifutwa kazi.




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MCHAKATO WA KUMSAKA KOCHA MPYA YANGA UMEFIKA HAPA
MCHAKATO WA KUMSAKA KOCHA MPYA YANGA UMEFIKA HAPA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg6RDM8zP3iKZEhl4j0YfJyJyUt16yiBfSeI_Ruo3IEj8GJ5vye1WtGrvEIEvVTj5PMTdYYeFRxUVk2qwa_hRZGondrdTQ6Alem3Qlm52kwfu8Sa3Z1JNKCVhyQbQRSaQaMD2J7miF68rS8/w640-h360/Zlatiko+wa+Yanga.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg6RDM8zP3iKZEhl4j0YfJyJyUt16yiBfSeI_Ruo3IEj8GJ5vye1WtGrvEIEvVTj5PMTdYYeFRxUVk2qwa_hRZGondrdTQ6Alem3Qlm52kwfu8Sa3Z1JNKCVhyQbQRSaQaMD2J7miF68rS8/s72-w640-c-h360/Zlatiko+wa+Yanga.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/mchakato-wa-kumsaka-kocha-mpya-yanga.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/mchakato-wa-kumsaka-kocha-mpya-yanga.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy