MAKIPA WAWILI WA SIMBA WAWEKA REKODI YAO CAF

 KIPA namba moja wa Klabu ya Simba, Aishi Manula ameweka rekodi ya kucheza jumla ya mechi tatu kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika bila kufungw...


 KIPA namba moja wa Klabu ya Simba, Aishi Manula ameweka rekodi ya kucheza jumla ya mechi tatu kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika bila kufungwa hatua ya makundi.

Wakati Manua ambaye ni kipa namba moja akiweka rekodi ya kukaa langoni bila kufungwa na kipa namba mbili naye Beno Kakolanya naye amekaa langoni mechi moja bila kupoteza.

Makipa wawili wa Simba wameweza kuweka rekodi kwenye hatua ya makundi kwa kucheza mechi nne bila kufungwa ambazo ni dakika 360 bila kuokota mpira wavuni.

Manula amekaa langoni kwenye mechi tatu ambazo ni dakika 270 ilikuwa AS Vita 0-1 Simba, Simba 1-0 Al Ahly 0 na Simba 3-0 Al Merrikh.

Kakolanya kipa namba mbili yeye kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambayo yanasimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika, (Caf) amekaa kwenye mechi moja ilikuwa Al Merrikh 0-0 Simba.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly

COMMENTS

BLOGGER
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3524,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,663,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MAKIPA WAWILI WA SIMBA WAWEKA REKODI YAO CAF
MAKIPA WAWILI WA SIMBA WAWEKA REKODI YAO CAF
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjHgNMWNaqgyP2Gkmt0rKPRcGOUgQgj6J4A5jYJDHAelG_IBlzpTPQQ_IEkHp2y5f-Qn0p4EWR918tJJWKAzIFr4FVOEUyMdk4gQwGGIfV2WDQnGFw91QRKItcxWop5rG94Yp6YC2xNMGhh/w640-h426/Manula+Platinum.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjHgNMWNaqgyP2Gkmt0rKPRcGOUgQgj6J4A5jYJDHAelG_IBlzpTPQQ_IEkHp2y5f-Qn0p4EWR918tJJWKAzIFr4FVOEUyMdk4gQwGGIfV2WDQnGFw91QRKItcxWop5rG94Yp6YC2xNMGhh/s72-w640-c-h426/Manula+Platinum.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/makipa-wawili-wa-simba-waweka-rekodi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/makipa-wawili-wa-simba-waweka-rekodi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy