KUTOKANA na kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli kilichotangwazwa na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Machi 1...
KUTOKANA na kifo cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli kilichotangwazwa na Makamu wa Rais, Samia Suluhu Machi 17, kiungo wa Simba Luis Miquissone amesema kuwa ni hasara kwa Arika na Dunia kiujumla.
Kiungo huyo raia wa Msumbuji amesema kuwa ni wakati mgumu ambao Watanzania wanapitia kwa sasa.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika:"Hasara kubwa kwa watu wa Tanzania, Afrika na ulimwengu wote. Mungu aipe familia na watu wa Tanzania nguvu wakati huu mgumu," ,
Credit: SALEH JEMBE
Please subscribe to get all sports news instantly
COMMENTS