KUMBE, SIMBA NA YANGA ZINATEGEMEANA KATIKA MAFANIKIO
HomeMichezo

KUMBE, SIMBA NA YANGA ZINATEGEMEANA KATIKA MAFANIKIO

IMEBAINISHWA kuwa klabu kongwe na kubwa Tanzania Simba na Yanga ambazo zinatajwa kuwa na mashabiki wengi zinategemeana katika maendeleo.  ...


IMEBAINISHWA kuwa klabu kongwe na kubwa Tanzania Simba na Yanga ambazo zinatajwa kuwa na mashabiki wengi zinategemeana katika maendeleo. 

kwa mujibu wa mchambuzi wa masuala ya michezo Tanzania, Ally Mayay Tembele amesema kuwa kila timu imekuwa ikitazama mpinzani wake anafanya nini jambo ambalo linaongeza ushindani kwa timu hizi mbili.

 Ameweka wazi kwa kusema kuwa Klabu ya Azam FC ya Dar ambayo imeweka nguvu kubwa katika uwekezaji ilipoanza kujenga Uwanja wa Azam Complex hakukuwa na shinikizo kubwa la mashabiki wa timu hizo wakihitaji na wao kupiga hatua hiyo ila baada ya Simba kuanza presha imekuwa kubwa.

"Nadhani unaona kwamba wakati ule Azam FC inajenga uwanja wa kisasa ule wa Azam Complex hakukuwa na presha kubwa kutoka kwa mashabiki wa hizi timu mbili kuhitaji kuona timu zao zinafanya hivi.

"Ila baada ya Simba kuanza kujenga uwanja wao na kuuzindua kwa ajili ya kufanyia mazoezi unaona kwamba kumekuwa na presha kubwa na tayari Yanga wameanza mchakato wa kujenga uwanja wao wa mazoezi.

"Hii inamaanisha kwamba hizi timu zote mbili zinategemeana katika kutafuta mafanikio hivyo kwa sasa ni muhimu kila timu ikatafuta mafanikio yake kwa uhalali na kufikia malengo ambayo wamejiwekea," .




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: KUMBE, SIMBA NA YANGA ZINATEGEMEANA KATIKA MAFANIKIO
KUMBE, SIMBA NA YANGA ZINATEGEMEANA KATIKA MAFANIKIO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh2ZTG29o3oGXME_q1WOJWd7niNqiS1T5euhETa4kybribTHQCXj-71A9jVbcoGQ4Jg2wAr-25ytptYTyZRp9PwqO57Qrz-k3Yr-B4F7so4Vh1diQkq3r7DYIrtlcN5hKwbhsg5rMQE4jZP/w640-h360/Manula+v+Yanga.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh2ZTG29o3oGXME_q1WOJWd7niNqiS1T5euhETa4kybribTHQCXj-71A9jVbcoGQ4Jg2wAr-25ytptYTyZRp9PwqO57Qrz-k3Yr-B4F7so4Vh1diQkq3r7DYIrtlcN5hKwbhsg5rMQE4jZP/s72-w640-c-h360/Manula+v+Yanga.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/kumbe-simba-na-yanga-zinategemeana.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/kumbe-simba-na-yanga-zinategemeana.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy