HAWA HAPA MAKOCHA WANAOTAJWA KURITHI MIKOBA YA KAZE
HomeMichezo

HAWA HAPA MAKOCHA WANAOTAJWA KURITHI MIKOBA YA KAZE

 IMEELEZWA kuwa miongoni mwa makocha ambao wanatajwa kubeba mikoba ya benchi la ufundi ndani ya kikosi cha Yanga kilichokuwa kikinolewa na...

VIDEO:KERO ZA HAJI MANARA,OFISA HABARI WA YANGA NOMA KABISA
AZAM FC KAMILI GADO KUIVAA COASTAL UNION
VIDEO:MAYELE ALIYEMTUNGUA MANULA, ANAHITAJI TUZO BONGO

 IMEELEZWA kuwa miongoni mwa makocha ambao wanatajwa kubeba mikoba ya benchi la ufundi ndani ya kikosi cha Yanga kilichokuwa kikinolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze ni pamoja na Mecky Maxime.

Kaze na benchi lake la ufundi, jana Machi 7 walifungashiwa virago kutokana na mwendo mbovu wa timu hiyo kwa mujibu wa uongozi.

Timu hiyo mchezo wake wa mwisho kwa mzunguko wa pili kushinda ilikuwa mbele ya Mtibwa Sugar ambapo  ubao Uwanja wa Mkapa ulisoma Yanga 1-0 Mtibwa Sugar.

Kwa mujibu wa Yanga benchi la ufundi litatangazwa hivi karibuni kabla ya ligi kuendelea kushika kasi mzunguko wa pili.

Maxime ambaye amefutwa kazi ndani ya Kagera Sugar anatajwa kuwa kwenye mazungumzo na baadhi ya viongozi ili kuweza kumpa kazi hiyo ya kuwanoa vinara hao wa ligi.

Mbali na Maxime pia Kocha Etienne Ndayiragije ambaye alichimbishwa ndani ya timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars jina lake pia linatajwa kuwa miongoni mwa makocha ambao wanaweza kurithi mikoba ya Kaze.




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: HAWA HAPA MAKOCHA WANAOTAJWA KURITHI MIKOBA YA KAZE
HAWA HAPA MAKOCHA WANAOTAJWA KURITHI MIKOBA YA KAZE
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgPkaFLwlRR_kiaQtOseIVF-BStc0MLZITyIiuvclicZeEet-ZtPW585M-AkBaTpV_gVC2e2yzRBbB5mJunUQl6CgcNP9_PfMY-PCWea1iXwgPi6h8BMNcuClDpbrACDLWEMW12JRQVGWL4/w640-h428/Ndayiragije+tena.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgPkaFLwlRR_kiaQtOseIVF-BStc0MLZITyIiuvclicZeEet-ZtPW585M-AkBaTpV_gVC2e2yzRBbB5mJunUQl6CgcNP9_PfMY-PCWea1iXwgPi6h8BMNcuClDpbrACDLWEMW12JRQVGWL4/s72-w640-c-h428/Ndayiragije+tena.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/hawa-hapa-makocha-wanaotajwa-kurithi.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/hawa-hapa-makocha-wanaotajwa-kurithi.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy