GOMES KUBADILI KIKOSI LEO, MKUDE NA MORRISON WAPEWA NAFASI
HomeMichezo

GOMES KUBADILI KIKOSI LEO, MKUDE NA MORRISON WAPEWA NAFASI

DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kuelekea mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa atabadil...


DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kuelekea mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons, Uwanja wa Mkapa atabadili kikosi cha ushindi.

Gomes ametoka kuongoza kikosi hicho kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi ikiwa dhidi ya Al Merrikh na aliambulia sare ya bila kufungana ndani ya dakika 90.

Kocha huyo amesema kuwa atawapa mapumziko baadhi ya wachezaji ambao walianza kwenye mechi yao hiyo iliyochezwa Machi 6, Uwanja wa Al Hilal.

Lengo la kufanya hivyo ni kuweza kuwapa muda wachezaji wake kwa ajili ya mchezo wao wa pili dhidi ya Al Merrikh unaotarajiwa kuchezwa Machi 16, Uwanja wa Mkapa.

"Utakuwa ni mchezo mgumu dhidi ya Prisons ila malengo yetu ni kuona kwamba timu inapata ushindi na kukusanya pointi tatu muhimu.

"Wachezaji wengine watapata muda wa kupumzika hii ni kwa ajili kuwapa nafasi wale wengine ambao hawakupata nafasi kwenye mchezo uliopita," amesema.

Miongoni mwa wachezaji ambao wanapewa nafasi ya kuanza leo ni pamoja na kiungo mshambuliaji, Bernard Morrison,Ibrahim Ajibu, kiungo mkabaji Jonas Mkude na Said Ndemla.




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: GOMES KUBADILI KIKOSI LEO, MKUDE NA MORRISON WAPEWA NAFASI
GOMES KUBADILI KIKOSI LEO, MKUDE NA MORRISON WAPEWA NAFASI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjp2mILW3D6u1qfJbOTXKjTMvCH3-Tni2jaefnvH3My-psPggHT3ALHbv2Xd-hdfkMYsIQtJ4vR_hdVSQ8MjMxT2tYRgCISYD57Fmn9cgYB7XyhYitbv2kobETlOke4jPecxUsAGSyI8D59/w354-h640/mkude+simba.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjp2mILW3D6u1qfJbOTXKjTMvCH3-Tni2jaefnvH3My-psPggHT3ALHbv2Xd-hdfkMYsIQtJ4vR_hdVSQ8MjMxT2tYRgCISYD57Fmn9cgYB7XyhYitbv2kobETlOke4jPecxUsAGSyI8D59/s72-w354-c-h640/mkude+simba.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/gomes-kubadili-kikosi-leo-mkude-na.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/gomes-kubadili-kikosi-leo-mkude-na.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy