DEMBELE AANGUKA MAZOEZINI, HALI YAKE IMEREJEA KWENYE UBORA
HomeMichezo

DEMBELE AANGUKA MAZOEZINI, HALI YAKE IMEREJEA KWENYE UBORA

UONGOZI wa Klabu ya Atletico Madrid umesema kuwa mshambuliaji wao Moussa Dembele anaendelea vizuri kwa sasa kwa kuwa alipata tatizo kidogo...

YUSUPH MHILU:MZUNGUKO WA PILI TUTAPAMBANA KUFANYA VIZURI
ODD ONE OUT KUTOKA EXPANSE STUDIO KUPITIA MERIDIANBET PEKEE
SIMBA YAPANIA KUFANYA VIZURI KIMATAIFA

UONGOZI wa Klabu ya Atletico Madrid umesema kuwa mshambuliaji wao Moussa Dembele anaendelea vizuri kwa sasa kwa kuwa alipata tatizo kidogo kwenye msukumo wa damu.
Dembele kwenye mazoezi ya jana Machi 23 alidondoka ghafla wakati wakiwa katika mazoezi ya pamoja na wachezaji wenzake.

Mshambuliaji huyo wa zamani wa Klabu ya Lyon alianza kuokolewa na wachezaji wenzake kabla hawajawaita wataalamu wa afya ndani ya Atletico Madrid.

Watendaji hao kazi wa Atletico Madrid kutoka kitengo cha afya walitumia muda mwingi kujaribu kumrudisha kwenye hali ya kawaida.

Ripoti zimeeleza kuwa nyota huyo mwenye miaka 24 aliweza kurejea kwenye hali yake ya kawaida kwa kuwa hakuwa na tatizo kubwa bali mgandamizo wa damu ulikuwa mdogo.


Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: DEMBELE AANGUKA MAZOEZINI, HALI YAKE IMEREJEA KWENYE UBORA
DEMBELE AANGUKA MAZOEZINI, HALI YAKE IMEREJEA KWENYE UBORA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjguYsnpp8rLZgvvkn7HpoOsl1hGiMtiR1ve8w6_tRrvg8sCz1q-P3p95rkEmVH-xxUzHCLOJ1m1-bDCPPw5_0xEJ48gHzxRMbkfTrwRaRNkKSuQNZjSqflbsPMJKP615bqm9MH7wGh7N23/w640-h360/Mousa+Dembele.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjguYsnpp8rLZgvvkn7HpoOsl1hGiMtiR1ve8w6_tRrvg8sCz1q-P3p95rkEmVH-xxUzHCLOJ1m1-bDCPPw5_0xEJ48gHzxRMbkfTrwRaRNkKSuQNZjSqflbsPMJKP615bqm9MH7wGh7N23/s72-w640-c-h360/Mousa+Dembele.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/dembele-aanguka-mazoezini-hali-yake.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/dembele-aanguka-mazoezini-hali-yake.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy