BEKI WA BAYERN MUNICH, ALABA AKUBALI KUTUA REAL MADRID, OFA YAKE NOMA
HomeMichezo

BEKI WA BAYERN MUNICH, ALABA AKUBALI KUTUA REAL MADRID, OFA YAKE NOMA

 DAVID Alaba mwenye miaka 28 anatajwa kujiunga na Klabu ya Real Madrid baada ya kupewa ofa ya pauni 165,000 sawa na shilingi milioni 528 k...


 DAVID Alaba mwenye miaka 28 anatajwa kujiunga na Klabu ya Real Madrid baada ya kupewa ofa ya pauni 165,000 sawa na shilingi milioni 528 kuwa ni mshahara wake kwa wiki mbali na marupurupu ya kutosha.

Beki huyo wa Klabu ya Bayern Munich raia wa Austria atasepa ndani ya klabu hiyo pale msimu huu utakapomeguka na amekubali kujiunga na vigogo hao wa Hispania.

Kwa mujibu wa ABC Deportes Alaba amekubali kwa mdomo kujiunga na Real Madrid kufuatia ofa kubwa ambayo imewekwa mezani na mabingwa hao mara 13 wa Ulaya.

Alaba anatazamwa kuwa mbadala wa Sergio Ramos ambaye imekuwa ikielezwa kuwa anaweza kusepa ndani ya kikosi hicho.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: BEKI WA BAYERN MUNICH, ALABA AKUBALI KUTUA REAL MADRID, OFA YAKE NOMA
BEKI WA BAYERN MUNICH, ALABA AKUBALI KUTUA REAL MADRID, OFA YAKE NOMA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjouRGErN2j39uRm_bXqrYdZUk49LGhBvSYkz2bnQOT6rFugjFpPMsgTR-oV_XYUriT2NB816ipz1h4SyUjZbluj8xh5kGFsIMCjVLmpEwHiHkmYP9hPp7JgLlgBgk3JP9bAUrRrUfwdl_2/w600-h640/Alaba+tena.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjouRGErN2j39uRm_bXqrYdZUk49LGhBvSYkz2bnQOT6rFugjFpPMsgTR-oV_XYUriT2NB816ipz1h4SyUjZbluj8xh5kGFsIMCjVLmpEwHiHkmYP9hPp7JgLlgBgk3JP9bAUrRrUfwdl_2/s72-w600-c-h640/Alaba+tena.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/beki-wa-bayern-munich-alaba-akubali.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/beki-wa-bayern-munich-alaba-akubali.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy