AZAM FC: MAGUFULI ALIKUWA KIONGOZI IMARA MWENYE MAAMUZI
HomeMichezo

AZAM FC: MAGUFULI ALIKUWA KIONGOZI IMARA MWENYE MAAMUZI

 UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kuondoka kwa Rais wa awamu ya tano John Pombe Magufuli ni pigo kwa Tanzania na Afrika kwa kuwa ameondoka ...


 UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa kuondoka kwa Rais wa awamu ya tano John Pombe Magufuli ni pigo kwa Tanzania na Afrika kwa kuwa ameondoka kiongozi shujaa aliyekuwa ni mpenda michezo na mtu wa maamuzi.

Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema kuwa kwa bara la Afrika, Magufuli aliweka rekodi ya kuruhusu mashabiki na mechi kuanza kufanyika mapema wakati wa janga la virusi vya Corona.

Wakati Corona ikitikisa dunia 2020, nchi nyingi Afrika na duniani ziliweka zuio kwenye masuala yote yanayohusu michezo na mikusanyiko ila Magufuli hakuwa tayari kuona hilo likiwa endelevu kwa muda mrefu jambo ambalo Azam FC na Afrika linatambua.

Thabit amesema:"Alikuwa kiongozi imara, shupavu na mwenye msimamo, ikumbukwe kwamba Tanzania chini ya utawala wake wakati wa changamoto ya Corona, aliruhusu soka kuendelea.

"Ilikuwa ni kuanzia Julai Mosi ambapo aliruhusu masuala ya michezo kuendelea na mashabiki pia kuingia kwa kuchukua tahadhari dhidi ya Corona, ni alama ambayo ameiacha na atakumbukwa daima," .

Magufuli alikuwa ni mpenda maendeleo na alikuwa na ushirikiano na viongozi wengi ndani ya bara la Afrika na nje ya Afrika ambapo kwenye kutoa heshima zao za mwisho wengi jana Machi 22 walijitokeza makao makuu ya Tanzania, Dodoma.

Miongoni mwa wale ambao walikuwa kwenye kutoa heshima za mwisho ni pamoja na Rais wa Kenya, Uhuru Kenyata ambaye aliweka wazi kuwa Magufuli alikuwa muongoza njia na mpenda maendeleo.

"Magufuli alikuwa muongoza njia na katika hayo alikuwa anapenda kuona maendeleo yakionekana, hivyo kuondoka kwake ni pengo, tutamkubuka," .




Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AZAM FC: MAGUFULI ALIKUWA KIONGOZI IMARA MWENYE MAAMUZI
AZAM FC: MAGUFULI ALIKUWA KIONGOZI IMARA MWENYE MAAMUZI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi8A3wAZBHppoa0bBs70i4iXOHdl983srMZUrRxnB_DeGqslqzpi5rZWRdOkreInsng59ph-VOhBRrdYM-ydDw4S4VrUnBgCnl_PIs3jrLnma_g7cJtkMFDlQqBl_5O8lZ5-JMJIeUSYVi4/w640-h360/magufuli-1.png
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi8A3wAZBHppoa0bBs70i4iXOHdl983srMZUrRxnB_DeGqslqzpi5rZWRdOkreInsng59ph-VOhBRrdYM-ydDw4S4VrUnBgCnl_PIs3jrLnma_g7cJtkMFDlQqBl_5O8lZ5-JMJIeUSYVi4/s72-w640-c-h360/magufuli-1.png
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/azam-fc-magufuli-alikuwa-kiongozi-imara.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/03/azam-fc-magufuli-alikuwa-kiongozi-imara.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy