YANGA YASHUSHA PRESHA MASHABIKI, YAFUNGUKIA ISHU YA KUFUNGIWA KUSAJILI
HomeMichezo

YANGA YASHUSHA PRESHA MASHABIKI, YAFUNGUKIA ISHU YA KUFUNGIWA KUSAJILI

 UONGOZI wa Klabu ya Yanga umewashusha presha mashabiki wake kuhusu suala la kupigwa pini na FIFA kufanya usajili kwa muda wa miaka mitatu...


 UONGOZI wa Klabu ya Yanga umewashusha presha mashabiki wake kuhusu suala la kupigwa pini na FIFA kufanya usajili kwa muda wa miaka mitatu.

Imeelezwa kuwa Yanga imefungiwa na FIFA kufanya usajili kwa kuwa haijalipa deni la mchezaji wao wa zamani Amiss Tambwe ambalo ni la mshahara wake pamoja na fedha za usajili.

Kwa mujibu wa Tambwe amesema kuwa amepewa taarifa na mwanasheria wake ambayo imeeleza kuwa Yanga wamezuiwa kufanya usajili kwa muda wa misimu mitatu.

"Nimepewa taarifa na mwanasheria wangu kwamba Yanga haitapaswa kusajili kwa muda wa miaka mitatu yaani kwenye dirisha dogo na dirisha kubwa la usajili hiyo ni taarifa ambayo nimepewa.

"Mimi sina tatizo na Yanga ila taarifa ninapewa na mwanasheria wangu na hilo ndilo ambalo ninalijua kwa sasa.


Kuhusu hilo Ofisa Uhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Anthonio Nugaz amesema:- â€œDeni la Tambwe Milioni 41 anazodai zilitalipwa ndani ya muda mfupi na wana Yanga wasiwe na hofu yoyote.

"Hiyo pesa inalipwa na usajili kwa Yanga utaendelea kama kawaida.Hiyo ni pesa kidogo kwa Yanga,tumepokea maamuzi ya FIFA na Sisi tunalipa wakati wowote na kila kitu kitakwenda sawa na tutaendelea kusajili wachezaji," .

Yanga imeweka kambi Kigamboni na imekamilisha usajili wa nyota watatu kwenye dirisha dogo ambao ni Fiston Abdulazack, Said Ntibanzokiza na Dickson Job.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: YANGA YASHUSHA PRESHA MASHABIKI, YAFUNGUKIA ISHU YA KUFUNGIWA KUSAJILI
YANGA YASHUSHA PRESHA MASHABIKI, YAFUNGUKIA ISHU YA KUFUNGIWA KUSAJILI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhPKacIsghMMS5YSclKBW8OBhryphyAlLpIZMVJFNqvxedoXtTUJuWcAewQ7e-M9x8VYYNU_wWG5IRWEaFAID9ZaSg09Vyx0K6qRoEKld6kFeBjSvpIG8Ta5BE7sniLSzDWURYY1xPNhnhg/w640-h360/Fiston+bana.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhPKacIsghMMS5YSclKBW8OBhryphyAlLpIZMVJFNqvxedoXtTUJuWcAewQ7e-M9x8VYYNU_wWG5IRWEaFAID9ZaSg09Vyx0K6qRoEKld6kFeBjSvpIG8Ta5BE7sniLSzDWURYY1xPNhnhg/s72-w640-c-h360/Fiston+bana.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/yanga-yashusha-presha-mashabiki.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/yanga-yashusha-presha-mashabiki.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy