SALAH NI NAMBA MOJA KWA UTUPIAJI
HomeMichezo

SALAH NI NAMBA MOJA KWA UTUPIAJI

  NDANI ya Ligi Kuu England,  Mohamed Salah ni kinara wa utupiaji akiwa ametupia jumla ya mabao 17 msimu wa 2020/21, timu yake ya Liverpo...

 


NDANI ya Ligi Kuu England,  Mohamed Salah ni kinara wa utupiaji akiwa ametupia jumla ya mabao 17 msimu wa 2020/21, timu yake ya Liverpool ipo nafasi ya nne.

Raia huyo wa Misri anaamini kwamba bado timu yake hiyo ina nafasi ya kufanya vizuri na kuweza kutwaa taji hilo tena kwa msimu huu licha ya kuwa kwenye mwendo wa kusuasua hivi karibuni.

Timu hiyo kwa sasa inapambana kutetea taji Ligi Kuu England ililotwaa msimu uliopita wa 2019/20 chini ya Jurgen Klopp. 

Anafuatiwa kwa ukaribu na nyota wa Manchester United,  Bruno Fernandes ambaye amefunga jumla ya mabao 14 na timu yake ipo nafasi ya pili ikiwa  na pointi 46.

Kinara wao ni Manchester City ya Pep Guardiola ikiwa na pointi 53 baada ya kucheza jumla ya mechi 23.

Salah amesema:"Wengi wapo nyuma yetu wanapenda kuona tunafanya vizuri hilo lipo wazi na tunaamini kwamba tunaweza kufikia malengo hayo na tutafanya vizuri katika kutetea taji,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: SALAH NI NAMBA MOJA KWA UTUPIAJI
SALAH NI NAMBA MOJA KWA UTUPIAJI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhs3hGjHT5r2Y3rTTwzpvEpROFcNb7lS3nfhxUErLf8Ttq9guwR7PCCccsgPdkaPmaNCVwlu_1qkLUkz-GpURm-Enz6d4GMsbMgnymBzH_fJQ9noFplVtE94OZh5xgQ_-AygPj1oqfsDNuF/w640-h426/IMG_20210216_103526_531.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhs3hGjHT5r2Y3rTTwzpvEpROFcNb7lS3nfhxUErLf8Ttq9guwR7PCCccsgPdkaPmaNCVwlu_1qkLUkz-GpURm-Enz6d4GMsbMgnymBzH_fJQ9noFplVtE94OZh5xgQ_-AygPj1oqfsDNuF/s72-w640-c-h426/IMG_20210216_103526_531.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/salah-ni-namba-moja-kwa-utupiaji.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/salah-ni-namba-moja-kwa-utupiaji.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy