NYOTA HAWA WA YANGA KUIKOSA MBEYA CITY LEO
HomeMichezo

NYOTA HAWA WA YANGA KUIKOSA MBEYA CITY LEO

  LEO kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze kina kazi ya kusaka pointi tatu muhimu mbele ya Mbeya City kwenye mchezo ...

 


LEO kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze kina kazi ya kusaka pointi tatu muhimu mbele ya Mbeya City kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara.

Mbeya City inayonolewa na Kocha Mkuu, Mathias Lule ina kumbukumbu ya kupoteza mchezo wao wa mzunguko wa kwanza kwa kufungwa bao 1-0, Uwanja wa Mkapa hivyo leo itapambana kulipa kisasi.

Nyota hawa wa Yanga wanatarajia kuukosa mchezo wa leo, Uwanja wa Sokoine:-Dickson Job, beki wa kati wa Klabu ya Yanga anatibu majeraha yake ya nyama za paja. 

Saido Ntibanzokiza naye pia ataukosa mchezo wa leo aliachwa Bongo akiwa kwenye uangalizi maalumu kutokana na majeraha aliyopata kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Tanzania Prisons.

Yacouba Songne naye pia anatarajiwa kuukosa mchezo wa leo kwa kuwa bado hajwa fiti.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: NYOTA HAWA WA YANGA KUIKOSA MBEYA CITY LEO
NYOTA HAWA WA YANGA KUIKOSA MBEYA CITY LEO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgoGhbOHLFmCiOYruQZeeOJ6IoPbUvnVeHMfXgwiEHHy-4ie60dj77LegWqv7DSNndtMRpygMio8JdRpF0KhCjQFNSGF0htjI5TVW9osD0M31s_6I3QZooZ4bLyNUQFpaOE3aBXUYZ2znfe/w632-h640/IMG_20210213_124318_843.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgoGhbOHLFmCiOYruQZeeOJ6IoPbUvnVeHMfXgwiEHHy-4ie60dj77LegWqv7DSNndtMRpygMio8JdRpF0KhCjQFNSGF0htjI5TVW9osD0M31s_6I3QZooZ4bLyNUQFpaOE3aBXUYZ2znfe/s72-w632-c-h640/IMG_20210213_124318_843.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/nyota-hawa-wa-yanga-kuikosa-mbeya-city.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/nyota-hawa-wa-yanga-kuikosa-mbeya-city.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy