MTIBWA SUGAR WATAJA SABABU ZA KUWA NA MWENDO WA KINYONGA
HomeMichezo

MTIBWA SUGAR WATAJA SABABU ZA KUWA NA MWENDO WA KINYONGA

KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Hitimana Thiery amesema kuwa kinachowasumbua wachezaji wake kwa sasa kushindwa kupata matokeo chanya ndani ya ...


KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Hitimana Thiery amesema kuwa kinachowasumbua wachezaji wake kwa sasa kushindwa kupata matokeo chanya ndani ya uwanja ni kutokuwa fiti kwa ajili ya kupambana.

Mtibwa Sugar kwenye Kombe la Shirikisho hatua ya 32 bora imefungashiwa virago na JKT Tanzania ikiwa Uwanja wao wa nyumbani, Jamhuri,Morogoro.

Dakika 90 zilikamilika kwa sare ya kufungana mabao 2-2 kisha ngoma ilipofika hatua ya mikwaju ya penalti, Mtibwa Sugar 4-5 JKT Tanzania.

Kwenye Ligi Kuu Bara pia mwendo wake ni wa kinyonga, ikiwa imecheza jumla ya mechi19 ipo nafasi ya 12 na pointi zake ni 23.

Hitimana amesema:"Bado wachezaji hawajawa fiti katika mapambano ndani ya uwanja jambo ambalo linafanya tunapoteza mechi zetu.

"Ila haina maana kwamba hili tatizo litadumu hapana muda wake umekwisha ndio maana tunapambana ili kupata matokeo chanya ndani ya uwanja.

"Kila kitu kinawezekana na ni muda wetu wa kurejea kwenye ubora wetu hivyo mashabiki waendelee kutupa sapoti kila kitu kitakuwa sawa,".

Mechi yao ya kwanza mzunguko wa pili ililazimisha sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Ihefu, Uwanja wa Jamhuri, ikaambulia kichapo cha kufungwa bao 1-0 dhidi ya Yanga Uwanja wa Mkapa.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MTIBWA SUGAR WATAJA SABABU ZA KUWA NA MWENDO WA KINYONGA
MTIBWA SUGAR WATAJA SABABU ZA KUWA NA MWENDO WA KINYONGA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhJO4hVdPFN13xDaqN6BYmKiB81E-OrzeFZ_cpMVVaSg4SDEY7sOniJSeDDGzKe_ZzbfiwFU2_BSOvc84lFAZbD6FP4NupSXfuJZj9-yTpHXQAyV3Izdp7euGkBlguoBCBrNeWcSUi8YcFV/w640-h404/Mtibwa+2020.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhJO4hVdPFN13xDaqN6BYmKiB81E-OrzeFZ_cpMVVaSg4SDEY7sOniJSeDDGzKe_ZzbfiwFU2_BSOvc84lFAZbD6FP4NupSXfuJZj9-yTpHXQAyV3Izdp7euGkBlguoBCBrNeWcSUi8YcFV/s72-w640-c-h404/Mtibwa+2020.JPG
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/mtibwa-sugar-wataja-sababu-za-kuwa-na.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/mtibwa-sugar-wataja-sababu-za-kuwa-na.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy