MERIDIAN BET YAMSAIDIA MTOTO ALIYEZALIWA NA KANSA YA MACHO
HomeMichezo

MERIDIAN BET YAMSAIDIA MTOTO ALIYEZALIWA NA KANSA YA MACHO

  Kampuni ya Michezo ya kubashiri Nchini MERIDIAN BET imejitokeza na kusaidia kiasi cha shilingi Millioni Moja kwa mtoto Rehema Faustine ...

 


Kampuni ya Michezo ya kubashiri Nchini MERIDIAN BET imejitokeza na kusaidia kiasi cha shilingi Millioni Moja kwa mtoto Rehema Faustine (1) aliyezaliwa na Kansa ya Macho hali iliyopelekea kushindwa kuona wala kusikia huku baba yake akimtelekeza mtoto huyo kutokana na matatizo aliyonayo



Awali akisimulia mama mzazi wa mtoto huyo Nadia Faustine (24) amesema amebahatika kupata mtoto mmoja aitwaye Rehema ambaye amezaliwa na Ulemavu wa macho (KIPOFU) baada ya kupata kansa ya macho akiwa tumboni.



Akisimulia kwa uchungu Nadia anasema Alipata ujauzito na baada ya miezi 4 akaambiwa anawatoto mapacha tumboni lakini mmoja amefariki mmoja mzima hivyo akaambiwa asubirie hadi miezi sita ili yule mzima akue hali iliyopelekea matatizo makubwa kwa mtoto aliyekuwa hai



Akizungumza wakati akitoa msaada kiasi cha Shilingi Millioni 1, Meneja Ustawi Meridian Bet Amani Maeda amesema wameguswa na matatizo anayoyapitia mtoto huyo hivyo wakaguswa kumsaidia ili aweze kupata matibabu zaidi



Naye Mkuu wa Utawala Meridian Bet, Cornelius Bornman amesema Kampuni hiyo imekuwa ikishiriki katika matukio mbalimbali ya kijamii kwa lengo la kusaidi jamii zenye uhitaji huku akionyesha kusikitishwa na matatizo ya mtoto huyo



Kwa Upande wake Nadia Faustine ameishukuru kampuni ya Meridian Bet kwa kumsaidia mtoto wake fedha kwa ajili ya matibabu kwani anapitia katika wakati mgumu kutokana na matatizo aliyonayo



Kwa sasa mtoto huyo anatakiwa kufanyiwa Operation ili kutolewa mabaki ya macho yaliyosalia ili yasimsababishie matatizo kwenye mishipa ya fahamu ambapo gharama yake ni kiasi cha shilingi 1, 500, 000 ( Milioni moja na laki tano)



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MERIDIAN BET YAMSAIDIA MTOTO ALIYEZALIWA NA KANSA YA MACHO
MERIDIAN BET YAMSAIDIA MTOTO ALIYEZALIWA NA KANSA YA MACHO
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEibyeZ7itJmb8gEqj3v8FGwyfV6aDOJ1bszvlOzjQw3puK-YCtmnoz5aLF9iN7s61pkKsr5Mq9LjgDJJEKgW8F6KiYZJEFZ4iAYEmvce7r6QrSWi3mfI9xkLtrbrK12juSiWoCe3bOKCm2Z/w640-h640/WhatsApp+Image+2021-02-16+at+12.10.06.jpeg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEibyeZ7itJmb8gEqj3v8FGwyfV6aDOJ1bszvlOzjQw3puK-YCtmnoz5aLF9iN7s61pkKsr5Mq9LjgDJJEKgW8F6KiYZJEFZ4iAYEmvce7r6QrSWi3mfI9xkLtrbrK12juSiWoCe3bOKCm2Z/s72-w640-c-h640/WhatsApp+Image+2021-02-16+at+12.10.06.jpeg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/meridian-bet-yamsaidia-mtoto.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/meridian-bet-yamsaidia-mtoto.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy