Marekani yawaondoa Wahouthi kwenye orodha ya magaidi
HomeHabari

Marekani yawaondoa Wahouthi kwenye orodha ya magaidi

  Marekani inadhamiria kuliondoa kundi la waasi wa Kihouthi nchini Yemen kutoka kwenye orodha ya makundi ya kigaidi.  Afisa mmoja wa Iku...


 Marekani inadhamiria kuliondoa kundi la waasi wa Kihouthi nchini Yemen kutoka kwenye orodha ya makundi ya kigaidi. 

Afisa mmoja wa Ikulu ya White House amesema kuwa hatua hiyo itasaidia kulikabili moja ya majanga makubwa kabisa ya kibinaadamu duniani. 

Utawala uliopita wa Donald Trump uliliweka kundi hilo linaloungwa mkono na Iran kwenye orodha ya makundi ya kigaidi, licha ya upinzani mkubwa wa Umoja wa Mataifa na mashirika ya misaada, ambayo yalisema kuwa hatua kama hiyo ingeliongeza ugumu wa kuwafikia na kuwasaidia raia waliokwama kwenye mapigano nchini Yemen. 

Uamuzi huu wa umekuja siku moja tu, baada ya Biden kutangaza kwamba Marekani inasitisha rasmi uungaji mkono wake wa vita vinavyoongozwa na Saudi Arabia nchini Yemen. 

Mnamo mwaka 2015, utawala wa Barack Obama ambaye Biden alikuwa makamu wake, uliridhia kuanzishwa kwa kampeni hiyo ya kijeshi, iliyodhamiria kuwazuwia Wahouthi kuendelea kutwaa udhibiti wa Yemen, ukiwemo mji mkuu Sanaa. 

 

-DW



Credit: MPEKUZI

Thanks for your time please share with your friends
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Marekani yawaondoa Wahouthi kwenye orodha ya magaidi
Marekani yawaondoa Wahouthi kwenye orodha ya magaidi
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjt7V0ui5qPW6M3TXAguRvYHy7uhMW-s8VJe8OBZBuE_-U-I1c2oyPui7oOD3_rEkJzgg-nkZlUmqOH3rQWYhDbZvltTVMMiuqB5GY1DiA_HHovVPxKzrIgwaZf_1dPpxSjecV1z5HIef2x/s16000/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjt7V0ui5qPW6M3TXAguRvYHy7uhMW-s8VJe8OBZBuE_-U-I1c2oyPui7oOD3_rEkJzgg-nkZlUmqOH3rQWYhDbZvltTVMMiuqB5GY1DiA_HHovVPxKzrIgwaZf_1dPpxSjecV1z5HIef2x/s72-c/1.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/marekani-yawaondoa-wahouthi-kwenye.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/marekani-yawaondoa-wahouthi-kwenye.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy