MANCHESTER UNITED HAIJAKATA TAMAA YA UBINGWA
HomeMichezo

MANCHESTER UNITED HAIJAKATA TAMAA YA UBINGWA

  SARE ya kufungana bao 1-1 dhidi ya West Brom imemfanya Kocha Mkuu wa Manchester United,  Ole Gunnar Solskjaer kusema kuwa haijawatoa kwe...

 

SARE ya kufungana bao 1-1 dhidi ya West Brom imemfanya Kocha Mkuu wa Manchester United,  Ole Gunnar Solskjaer kusema kuwa haijawatoa kwenye mbio za kuufukuzia ubingwa.


Ikiwa Uwanja wa The Hawthons ilishuhdua bao la mapema kabisa kutoka kwa Mbaye Diagne dakika ya pili na lilisawazishwa na nyota wao Bruno Fernandes dakika ya 44.


Sare hiyo inaifanya United wafikishe jumla ya pointi 46,wakiachwa kwa tofauti ya pointi 7 na vinara Manchester City wenye pointi 53 na wana mchezo mmoja mkononi kwa kuwa wamecheza jumla ya mechi 23.

West Brom ipo nafasi ya 19 kwenye msimamo ambapo ni nafasi mbaya kwao ikiwa itadumu hapo inaweza kushuka daraja na kibindoni ina pointi 13 baada ya kucheza jumla ya mechi 24.

Ole amesema:"Bado tuna mechi mkononi na bado tunaweza kufanya jambo. Hatutawaruhusu (City) waweze kutuacha. Tutacheza nao hivi karibuni na hatutaacha pointi tatu kwao kirahisi."



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MANCHESTER UNITED HAIJAKATA TAMAA YA UBINGWA
MANCHESTER UNITED HAIJAKATA TAMAA YA UBINGWA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgNFjXELlWNdjOdQz5Rh0RcO355tew10NCy-XZOvN6rI8ZKlRwBmT9h7PMia5dWBkbrfMosD-TkAxoXB2GBxXFAlyw3PVmexZEtQibPa13Lbtos055gt1kgQrCikrreKJrlVUhuYXYX68LB/w640-h434/Ole+na+rashford.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgNFjXELlWNdjOdQz5Rh0RcO355tew10NCy-XZOvN6rI8ZKlRwBmT9h7PMia5dWBkbrfMosD-TkAxoXB2GBxXFAlyw3PVmexZEtQibPa13Lbtos055gt1kgQrCikrreKJrlVUhuYXYX68LB/s72-w640-c-h434/Ole+na+rashford.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/manchester-united-haijakata-tamaa-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/manchester-united-haijakata-tamaa-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy