MAJERAHA KUMUWEKA NJE POGBA NDANI YA MANCHESTER UNITED
HomeMichezo

MAJERAHA KUMUWEKA NJE POGBA NDANI YA MANCHESTER UNITED

  KOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, amefunguka kuwa staa wake Paul Pogba ataendelea kuwa nje, huku beki Eric Bailly huenda...


 KOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer, amefunguka kuwa staa wake Paul Pogba ataendelea kuwa nje, huku beki Eric Bailly huenda akarejea uwanjani.

 Leo Jumapili, Man United itakuwa ugenini ikicheza dhidi ya West Brom katika mchezo wa Premier League.

 

Pogba aliumia hivi karibuni walipocheza dhidi ya Everton kwenye sare ya 3-3, alikosekana kwenye mchezo wa FA dhidi ya West Ham.


Solskjaer amesema: “Paul ataendelea kuwa nje na natamani apone haraka na kurejea uwanjani, lakini Bailly amefanya mazoezi, hivyo kwa upande wake linaweza kutokea lolote kulekea mchezo wa kesho (leo).


“Ni wachezaji muhimu lakini hali zao ndiyo ziko hivyo.

 Tunaenda kucheza, tunahitaji kupata matokeo mazuri ili kuwa kwenye nafasi nzuri kwa sababu kama ukipoteza hata pointi moja itakuwa ni tatizo kwa upande wetu.

 

"Kitendo cha kupoteza pointi mbili dhidi ya Everton sikukipenda na sitaki kuona kinajirudia tena ndiyo maana nimewandaa vijana wangu kwa kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa.”

 

Ukiachana na mchezo huo kati ya Man United na West Brom, mechi zingine leo Jumapili ni Arsenal v Leeds, Southampton v Wolves na Everton v Fulham.



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MAJERAHA KUMUWEKA NJE POGBA NDANI YA MANCHESTER UNITED
MAJERAHA KUMUWEKA NJE POGBA NDANI YA MANCHESTER UNITED
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEifgFl9g4E0DstRNOVqlg9gViKwLAOUwaKSCwShNey35Pj3YnTBxFsejYC2KUhPiaIMvNrR5HbUA-VT2gRKcQmHF8qgYWAtGgvI2X7HqCM6J8TwDz24jM41SU_oJZYvyeWmhOHuW1zaIBSe/w640-h384/Pogba+na+Ole.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEifgFl9g4E0DstRNOVqlg9gViKwLAOUwaKSCwShNey35Pj3YnTBxFsejYC2KUhPiaIMvNrR5HbUA-VT2gRKcQmHF8qgYWAtGgvI2X7HqCM6J8TwDz24jM41SU_oJZYvyeWmhOHuW1zaIBSe/s72-w640-c-h384/Pogba+na+Ole.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/majeraha-kumuweka-nje-pogba-ndani-ya.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/majeraha-kumuweka-nje-pogba-ndani-ya.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy