BREAKING;KIM POULSEN, KOCHA MKUU WA TAIFA STARS
HomeMichezo

BREAKING;KIM POULSEN, KOCHA MKUU WA TAIFA STARS

  KIM Poulsen raia wa Denrmark ameteuliwa rasmi na Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) kuwa kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa ...

 


KIM Poulsen raia wa Denrmark ameteuliwa rasmi na Shirikisho la Soka Tanzania,(TFF) kuwa kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars.

Kocha huyo ambaye aliwahi kuwa mshauri kwenye timu ya taifa ya vijana amesaini dili la miaka mitatu anachukua mikoba ya rasmi Ettiene Ndayiragije raia wa Burundi ambaye alifikia makubaliano ya kusitisha mkataba wake na Stars.

Ndayiragije alifikia hatua hiyo Februari 11 ambapo ilimshukuru na kumtakia kila la kheri atakakokwenda.

Taarifa rasmi iliyotolewa na TFF imeeleza kuwa kocha huyo ambaye aliwahi pia kuinoa Stars mwaka 2012 na 2013 anachukua nafasi ya Ndayiragije ambaye alijiunga na Stars, Julai 2019. 


Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: BREAKING;KIM POULSEN, KOCHA MKUU WA TAIFA STARS
BREAKING;KIM POULSEN, KOCHA MKUU WA TAIFA STARS
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgYuVlQfive4T6zo0a45jG_aGATdw-cpNLWgiAVdQVNEdC_3KwQrEzIl2J-drKwbi5SkwGLnFXAQlpWP9LS3iFK-tOFoH0FmTU8n0h1BK1gtLUs-ySeNH-CsFYCmyetYim1V287jVAyBfs1/w640-h408/Poulsen.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgYuVlQfive4T6zo0a45jG_aGATdw-cpNLWgiAVdQVNEdC_3KwQrEzIl2J-drKwbi5SkwGLnFXAQlpWP9LS3iFK-tOFoH0FmTU8n0h1BK1gtLUs-ySeNH-CsFYCmyetYim1V287jVAyBfs1/s72-w640-c-h408/Poulsen.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/breakingkim-poulsen-kocha-mkuu-wa-taifa.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/breakingkim-poulsen-kocha-mkuu-wa-taifa.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy