AUBAMEYANG AREJEA KIKOSI CHA KWANZA, ASEPA NA MPIRA
HomeMichezo

AUBAMEYANG AREJEA KIKOSI CHA KWANZA, ASEPA NA MPIRA

  NAHODHA wa kikosi cha Arsenal,  Pierre Emerick Aubameyang amewashukuru wachezaji wenzake pamoja na benchi la ufundi kwa sapoti ambayo w...

 


NAHODHA wa kikosi cha Arsenal,  Pierre Emerick Aubameyang amewashukuru wachezaji wenzake pamoja na benchi la ufundi kwa sapoti ambayo wamekuwa wakimpa pamoja na kurejea kwake kikosi cha kwanza baada ya kurudi kutoka kumuuguza mamaye ambaye anaumwa.

Nahodha huyo wa Arsenal ambaye ni raia wa Gabon jana Februari 14 alianza kwa mara ya kwanza kikosi cha kwanza tangu Januari 19 na katika mechi hiyo alifunga hat trick mbele ya Leeds United. 

Akiwa Uwanja wa Emirates, kwenye ushindi wa mabao 4-2, Aubameyang alitupia mabao hayo dakika ya 13,41 kwa penalti na dakika ya 47 na lingine moja lilitupiwa na Hector Bellerin dakika ya 45.

Kwa upande wa Leeds watupiaji walikuwa ni Pascal Strujik dakika ya 58 na Helder Costa dakika ya 69. Matokeo hayo yanaifanya Arsenal kufikisha pointi 34 ikiwa nafasi ya 10 na Leeds ipo nafasi ya 11 na pointi zao ni 32.

Auba amesema:"Ninawashukuru wachezaji wenzagu, benchi la ufundi kwa sapoti ambayo wamekuwa wakinipa kwenye matatizo ambayo nimekuwa nikipitia.

"Nimefurahi kwa kufunga nina amini kwamba familia yangu itapata mpira wa kuchezea baada ya zawadi hii ambayo nimepata,".



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: AUBAMEYANG AREJEA KIKOSI CHA KWANZA, ASEPA NA MPIRA
AUBAMEYANG AREJEA KIKOSI CHA KWANZA, ASEPA NA MPIRA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhB5naqxUza-9Am1EWg83S0PoXDXPr5ZiCREUnhoui7TfuSMcouZ3CVEo6j8FjDDmdPeymXIrUCtBwo9xME6zBN81GI7yVmHHYBZtxpKGCfRNBQWdfcNPAbjwja4vc3QCWhMomYbtld8ytD/w540-h640/IMG_20210215_081502_104.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhB5naqxUza-9Am1EWg83S0PoXDXPr5ZiCREUnhoui7TfuSMcouZ3CVEo6j8FjDDmdPeymXIrUCtBwo9xME6zBN81GI7yVmHHYBZtxpKGCfRNBQWdfcNPAbjwja4vc3QCWhMomYbtld8ytD/s72-w540-c-h640/IMG_20210215_081502_104.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/aubameyang-arejea-kikosi-cha-kwanza.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/02/aubameyang-arejea-kikosi-cha-kwanza.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy