MASHINE YA KAZI NDANI YA YANGA KUTUA KUTOKA GHANA
HomeMichezo

MASHINE YA KAZI NDANI YA YANGA KUTUA KUTOKA GHANA

 MTAMBO wa mabao ndani ya Klabu ya Yanga unatarajiwa kutua kesho ili kuungana na wachezaji wenzake kambini kwa ajili ya maandalizi ya Ligi...


 MTAMBO wa mabao ndani ya Klabu ya Yanga unatarajiwa kutua kesho ili kuungana na wachezaji wenzake kambini kwa ajili ya maandalizi ya Ligi Kuu Bara inayotarajiwa kurejea Februari 13.

Michael Sarpong alikwea pipa kueleka Ghana baada ya kumaliza kazi ya kusaka Kombe la Mapinduzi Visiwani Zanzibar, Januari 13.

Yanga iliweza kutwaa taji la kwanza ndani ya 2021 kwa kuwafunga watani zao wa jadi, Simba kwa penalti 4-3 baada ya dakika 90 kukamilika bila kufungana.

Mtambo huo wa mabao ndani ya Yanga pia ulikuwepo kwenye kikosi cha kwanza kilichoanza Uwanja wa Amaan, Visiwani Zanzibar.

Ndani ya Ligi Kuu Bara, Sarpong ametupia jumla ya mabao manne idadi ambayo ni sawa na mshikaji wake Yacouba Songne pamoja na Deus Kaseke.

Katika mabao hayo anaingia kwenye rekodi ya kumtungua kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula kwenye Dar, Dabi iliyokamilika kwa sare ya kufungana bao 1-1, Uwanja wa Mkapa.

Nyota huyo ambaye amesaini dili la miaka miwili anatajwa kuwa miongoni mwa wachezaji ambao hawataongezewa mkataba ikiwa kiwango chake kitashindwa kuimarika.

Kaimu Katibu wa Yanga, Haji Mfikirwa amesema:"Sarpong hivi sasa amerudi nchini kwao Ghana kwa ruhusa maalumu ambayo amepewa na uongozi na anatarajiwa kurejea Januari 25," .



Credit: SALEH JEMBE

Please subscribe to get all sports news instantly
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: MASHINE YA KAZI NDANI YA YANGA KUTUA KUTOKA GHANA
MASHINE YA KAZI NDANI YA YANGA KUTUA KUTOKA GHANA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi_dMYnqHg9m1ZxrGt122cVl_VMRKxgjRBztra8-rqnIbGfaRnGROFwke5znhR2UxRPm16gH01RWKBSe9-XRF8fDWZJnVJx9MUrl-zQ6CB-NQGA0cbLT68tp2sgTJBko1phx7E24dA6eExG/w640-h640/Sarpong+v+Mtibwa.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi_dMYnqHg9m1ZxrGt122cVl_VMRKxgjRBztra8-rqnIbGfaRnGROFwke5znhR2UxRPm16gH01RWKBSe9-XRF8fDWZJnVJx9MUrl-zQ6CB-NQGA0cbLT68tp2sgTJBko1phx7E24dA6eExG/s72-w640-c-h640/Sarpong+v+Mtibwa.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/mashine-ya-kazi-ndani-ya-yanga-kutua.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2021/01/mashine-ya-kazi-ndani-ya-yanga-kutua.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy