Watu sita wajeruhiwa baada ya bomu kurushwa kwa mkono wakati wakitoka katika maadhimisho ya Mei Mosi.
HomeMatukio

Watu sita wajeruhiwa baada ya bomu kurushwa kwa mkono wakati wakitoka katika maadhimisho ya Mei Mosi.

Hofu ya ugaidi imezidi kutanda katika wilaya ya kilombero baada ya watu sita kujeruhiwa vibaya na bomu lililorushwa kwa mkono wakati wa...

HALI NI ILIVOKUWA JANA UDOM, KWAGEUKA KAMA VITANI>>>>Soma na angalia hapa
Soma headlines za mgomo Dar na Dodoma, Kisa cha Watz kufukuzwa Kenya? Ishu ya Rombo bado iko nayo !! (Audio)
MAFURIKO DAR YALIVYOACHA VILIO >> Angalia Majanga hayo
Hofu ya ugaidi imezidi kutanda katika wilaya ya kilombero baada ya watu sita kujeruhiwa vibaya na bomu lililorushwa kwa mkono wakati wakitoka katika maadhimisho ya mei mosi katika kijiji cha msolwa ujamaa kata ya sanje wilayani kilombero mkoani Morogoro .
 
Katika hospitali ya ST KIZITO MIKUMI walikolazwa majeruhi wa tukio hilo wamesema bomu hilo lilirushwa na vijana wawili baada ya kutiliwa shaka na wananchi wa kijiji cha msolwa ujamaa kata ya sanje tarafa ya mangula kuwaweka chini ya ulinzi kwa ajili ya kuwapekua ambapo vijana hao walirusha bomu na kujeruhi wananchi pamoja na baadhi ya viongozi wa serikali waliokuwa kwenye gari ya mweneyekiti wa halmashauri wakitokea katika maadhimisho ya mei mosi ambapo wameomba jeshi la polsi kufanya uchunguz kufuatia matukio yanayoashiria ugaidi kuendelea kuandama wakazi wa kilombero.
 
Nao viongozi wa kata akiwemo diwani wa kata ya sanje David Ligazio wamesema ipo haja ya serikali kuongeza nguvu ya jeshi la polisi ikiwa ni pamoja na magari ya usafiri na kutafuta vifaa vinavyo weza kuchunguza maeneo ya milima ya udizungwa na Ruaha ambapo wamebaini wahalifu wengi wamewaona wakitokea katika misitu hiyo mara kwa mara.
 
Kamanda wa polisi mkoa wa morogoro Lenard Pual amedhibitisha kutokea kwa tukio hilo ambapo amesema hadi sasa jeshi la polisi linawatafuta watuhumiwa hao ambao baada ya kurusha bomu hilo limejeruhi dereva wa mweneyekiti wa halmashauri ya wilaya ya kilombero na kuharibu gari ya halmshauri pamoja na wananchi wa kijiji cha msolwa ujamaa.
 
Tukio hilo limetokea ndani ya siku 14 baada ya watuhumiwa 9 kukamatwa msikitini wakiwa na milipuko 30, sare za jeshi, bendera nyeusi pamoja na vitu mbalimbali vya kufanyia uhalifu huku mmoja akichomwa moto na wananchi wenye hasira akiwa katika harakati za kutoroka baada ya kumchoma askari kwa jambia shingoni katika tarafa ya kidadu wilayani kilombero.
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Watu sita wajeruhiwa baada ya bomu kurushwa kwa mkono wakati wakitoka katika maadhimisho ya Mei Mosi.
Watu sita wajeruhiwa baada ya bomu kurushwa kwa mkono wakati wakitoka katika maadhimisho ya Mei Mosi.
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhuwvdcPhkbH1igVlhraPsyS_Fky_aeoKptvBbQ2QsCgqiORTkGu0tHFh2AeUUjp4catrO9FUnRZLgSHYd9vpSAtwSpZoD4K4hENVScmxELWqSiFxS1gkRFVJo_h3ePgaqPOTuXp__CqtNX/s640/BOM.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhuwvdcPhkbH1igVlhraPsyS_Fky_aeoKptvBbQ2QsCgqiORTkGu0tHFh2AeUUjp4catrO9FUnRZLgSHYd9vpSAtwSpZoD4K4hENVScmxELWqSiFxS1gkRFVJo_h3ePgaqPOTuXp__CqtNX/s72-c/BOM.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/05/watu-sita-wajeruhiwa-baada-ya-bomu.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/05/watu-sita-wajeruhiwa-baada-ya-bomu.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy