Wanamuziki Shilole na mpenzi wake Nuh Mziwanda wametua nchini Ubelgiji jana tayari kwa shoo yao ya nguvu ya Jumamosi hii nchini Ubel...
Wanamuziki
Shilole na mpenzi wake Nuh Mziwanda wametua nchini Ubelgiji jana tayari
kwa shoo yao ya nguvu ya Jumamosi hii nchini Ubelgiji. Wakiwa na nyuso
za furaha hotelini walipofikia wameahidi kufanya bonge la shoo kwa
pamoja. Wameomba wapenzi wao wajitokeze kwa wingi kushuhudia burudani ya
uhakika toka Bongo.
Nuh Mziwanda (kushoto) akiwa na Shilole 'Shishi Baby' wakiwa tayari kuwapagawisha wapenzi wao Jumamosi hii hapo Antwerpen.
COMMENTS