Diamond alikwenda Nigeria kwa ajili ya kufanya show kwenye utoaji wa tuzo za filamu Afrika 2015 ambapo kweli aliiwakilisha Tanzani...
Sio tu Diamond amekua akipost picha akiwa na mastaa hawa, hata Wanigeria hawa wamekua wakipost ambapo mmoja wao ni Iyanya aliepost picha usiku wa Jumapili akiwa na Diamond Platnumz na kuandika ‘Brother kutoka Tanzania Diamond, video ya nakupenda tunaifanya kesho’
Diamond na 2Face
Diamond amezidi kuisogeza Tanzania na kuitangaza zaidi kwenye nchi mbalimbali zikiwemo za Afrika mfano Nigeria ambayo mwanzoni ilikua ngumu kuingilika ila sasa hivi kazi ameshamaliza, unajionea mwenyewe picha alizopiga na mastaa wa Nigeria kama 2Face, P Square, Iyanya na wengine.
Diamond na mastaa wa Dorobucci
COMMENTS