Kocha wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho Kocha mkuu wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho ametangazwa kuwa kocha bora wa Ureno wa karn...
Kocha mkuu wa klabu ya Chelsea Jose Mourinho
ametangazwa kuwa kocha bora wa Ureno wa karne hii kwenye sherehe
zilizofanyika jijini Lisbon nchini Ureno za kusherekea miaka 100 tangu
kuanzishwa kwa shirikisho la mpira la Ureno.
Mourinho mwenye miaka 51 amesema yeye bado anaona
ushindi wake alioupata akiwa na klabu ya Porto ni ushindi mkubwa katika
historia ya kazi yake na amesisitiza kuwa yeye bado ana njaa ya
mafanikio zaidi kwenye klabu yake ya Chelsea
COMMENTS