Boko Haram washambulia nje ya Maiduguri
HomeHabariKimataifa

Boko Haram washambulia nje ya Maiduguri

Wapiganaji wa Boko Haram wameshambulia kijiji nje ya mji wa Maiduguri, kaskazini-mashariki mwa Nigeria. Waliwapiga risasi raia na kuchoma...

Obama offers condolences over ISIL hostage
Snap Greek vote to deliver verdict on Europe
Ronaldo apewa kadi nyekundu kwa kupigana


Wapiganaji wa Boko Haram wameshambulia kijiji nje ya mji wa Maiduguri, kaskazini-mashariki mwa Nigeria.

Waliwapiga risasi raia na kuchoma moto majumba.

Inaarifiwa kuwa watu kama 15 waliuwawa katika shambulio hilo dhidi ya kijiji cha Kambari Alhamisi usiku.

Ghasia hizo zimetokea kabla ya ziara iliyopangwa kufanywa Maiduguri na Rais Goodluck Jonathan ambaye anatarajiwa huko kufanya kampeni ya uchaguzi.

Wakuu wa huko wamewaomba wakaazi wamuoneshe heshima rais baada ya maandamano dhidi yake ya hivi karibuni yaliyofanywa na watu wanaosema kuwa ameshindwa kuwalinda dhidi ya Boko Haram.

Mji wa Maiduguri umepokea maelfu ya wageni waliokimbia ghasia za wapiganaji hao Waislamu kaskazini-mashariki mwa Nigeria.
Name

Afya,4,Ajira,2657,Audio,26,Biashara,2,Burudani,43,Economics,1,ELIMU,26,Gossip,38,Habari,3618,History,2,Kimataifa,202,kisiasa,13,Kiswahili,6,Kitaifa,147,Magazeti,44,Matokeo,3,Matukio,89,Michezo,2829,Muziki,62,Nairobi aiport,1,Ripoti,4,Tools,1,Top Stories,757,Video,47,Vituko,15,
ltr
item
Antagon Blog: Boko Haram washambulia nje ya Maiduguri
Boko Haram washambulia nje ya Maiduguri
http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/304/amz/worldservice/live/assets/images/2014/09/05/140905123030_maiduguri_refugees_304x171_ap_nocredit.jpg
Antagon Blog
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/boko-haram-washambulia-nje-ya-maiduguri.html
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/
https://antagonf.blogspot.com/2015/01/boko-haram-washambulia-nje-ya-maiduguri.html
true
8268252095325502418
UTF-8
Loaded All Posts Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH ALL POSTS Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago Followers Follow THIS CONTENT IS PREMIUM Please share to unlock Copy All Code Select All Code All codes were copied to your clipboard Can not copy the codes / texts, please press [CTRL]+[C] (or CMD+C with Mac) to copy